abulaaliyah77
JF-Expert Member
- Oct 13, 2021
- 1,750
- 1,158
Njoo nikulishe kijana au una dada nije nimuoe ili upate pa kupata mlo??
Mtu aliyejirekodi akibaka kwa kumtegemea jiwe kwanini asifungwe ?Tumeshawazoea nyinyi nyumbu! Alipofungwa Sabaya mkasema Mahakama imetenda haki ila kwa huyu Gaidi mkubwa mnabwabwaja tuuu. Tulie dawa iwaingie sawasawa ili mpone ugonjwa wenu wa kinyumbu!!
Kuzibuliwa mtaro nayo ni mihangaiko ya maisha?
Alikuwa anambaka nani dada? Wewe au? Kwani bibi kizee kama wewe unaweza kubakwa kweli?Mtu aliyejirekodi akibaka kwa kumtegemea jiwe kwanini asifungwe ?
Niliweka hii kitu lakini Mtukufu Moderator akaitupilia mbali bila hata kuiruhusu iombe maji ya kunywa
View attachment 2007370
ID yako tuu yaonyesha ulivyo kama mwenyewe alivyokuwa na hujui kama hujui!!Mtoto mdogo yupi anayejua kesi ya Gaidi Mbowe ni ya kubumba mkuu?? Au wewe ndiyo mtoto mdogo!!?
COVID 19 ni suluhisho la dhuluma na uonevuJiwe aliharibu kila kitu hapa nchini.
Nakumbuka Magufuli alianza kuingiza siasa na jeshini mchana kweupe, kuna siku alipokea wanasiasa waliohama upinzani kwenye kuunga juhudi kwenye kamisheni ya jeshi na CDF alikuwepo, tena akiwa anatabasamu!Kwa taasisi za umma tulizobaki nazo walau unaweza kuiamini by 40% ni hospitali tu. The rest zote kwishneee...
Yaani yule mtu, angeendelea kuwepo, tungekuwa na hali mbaya sana! Ashukuriwe MUWEZA YOTE, kwa kukizima kile kibatali!Nakumbuka Magufuli alianza kuingiza siasa na jeshini mchana kweupe, kuna siku alipokea wanasiasa waliohama upinzani kwenye kuunga juhudi kwenye kamisheni ya jeshi na CDF alikuwepo, tena akiwa anatabasamu!
angezalisha wakimbizi wengi sanaYaani yule mtu, angeendelea kuwepo, tungekuwa na hali mbaya sana! Ashukuriwe MUWEZA YOTE, kwa kukizima kile kibatali!
Gaidi ni yule kahaba mkuu wenuTumeshawazoea nyinyi nyumbu! Alipofungwa Sabaya mkasema Mahakama imetenda haki ila kwa huyu Gaidi mkubwa mnabwabwaja tuuu. Tulie dawa iwaingie sawasawa ili mpone ugonjwa wenu wa kinyumbu!!
Mimi hapa mtoto mdogo kanisa lakini natambua yote..Mtoto mdogo yupi anayejua kesi ya Gaidi Mbowe ni ya kubumba mkuu?? Au wewe ndiyo mtoto mdogo!!?
WALIOJIINGIZA KWENYE TAALUMA SIO WATU SAHIHI KWA SASA.....WAMEINGIZWA KUHARIBU TASWIRA YA SHERIA NA HAKI......WAMEKUWA WALA NJAMA.....SHERIA HAIKO HIVYO NYIE MAJAJI PANDIKIZI....TOKA ENZI ZA MABABU HAIKUWA NAMNA HIYO......WASTAAFU MAJAJI....MSIKAE KIMYA.....HALI HII IKIDUMISHWA NA WATU WAKIKATA TAMAA NI HATARIKuna watu wengi waliituhumu CHADEMA kwa kutokwenda mahakamani baada ya kuporwa uchaguzi Mkuu wa 2020. Cdm walisema baadhi ya taasisi za umma zilizoingiziwa uozo wa siasa chafu za ccm, ni pamoja na mahakama.
Kwa sasa kwenye kesi hii ya Mbowe ushahidi unazidi kukaa wazi, na bado kesi haijafika mwisho, lakini tayari majaji wawili wameshatoka, na huyu wa sasa amejaa maamuzi ya utata, na sidhani kama atafika mwisho wa kesi.
Kubwa kuliko yote ni mahakama kutumika kuvujisha nyaraka kwa mashahidi wa jamuhuri kinyume kabisa cha sheria, na utawala wa mahakama uko kimya kuhusu hilo! Iwapo mahakamani ndio sehemu tunaambiwa ni ya kupatia haki, na inatakiwa tuiamini kuwa itatenda haki, wanashirikiana na watu waliobambikizia kesi, ni taasisi ipi tena ya umma inaweza kuaminika?
Kwa hapa tulipofikia ni kwa jinsi gani tunaweza kukwepa katiba mpya, wakati hadi mahakama imekubali kutumikia siasa chafu za CCM?
TumekwamaKuna watu wengi waliituhumu CHADEMA kwa kutokwenda mahakamani baada ya kuporwa uchaguzi Mkuu wa 2020. Cdm walisema baadhi ya taasisi za umma zilizoingiziwa uozo wa siasa chafu za ccm, ni pamoja na mahakama.
Kwa sasa kwenye kesi hii ya Mbowe ushahidi unazidi kukaa wazi, na bado kesi haijafika mwisho, lakini tayari majaji wawili wameshatoka, na huyu wa sasa amejaa maamuzi ya utata, na sidhani kama atafika mwisho wa kesi.
Kubwa kuliko yote ni mahakama kutumika kuvujisha nyaraka kwa mashahidi wa jamuhuri kinyume kabisa cha sheria, na utawala wa mahakama uko kimya kuhusu hilo! Iwapo mahakamani ndio sehemu tunaambiwa ni ya kupatia haki, na inatakiwa tuiamini kuwa itatenda haki, wanashirikiana na watu waliobambikizia kesi, ni taasisi ipi tena ya umma inaweza kuaminika?
Kwa hapa tulipofikia ni kwa jinsi gani tunaweza kukwepa katiba mpya, wakati hadi mahakama imekubali kutumikia siasa chafu za CCM?
Hujui kwamba Sabaya anafungwa kwa kuwatukana na kuwadharau baadhi ya vigogo wa jeshi la polisi na hata mawaziri na aliyekuwa makamu wa rais wakati huo pamoja na waziri mkuu? Kosa lake hakujua kwamba JPM angekufa sikumoja na ndio maana alilia kama mtoto. Vinginevyo Sabaya angelikuwa mkuu wa mkoa wa Kilimanjaro wakati huu.Tumeshawazoea nyinyi nyumbu! Alipofungwa Sabaya mkasema Mahakama imetenda haki ila kwa huyu Gaidi mkubwa mnabwabwaja tuuu. Tulie dawa iwaingie sawasawa ili mpone ugonjwa wenu wa kinyumbu!!
Ikitenda haki mahakama moja, haimaanishi na nyingine zimetenda haki kwa hii moja kufanya hivyo..!!! Kila mahakama inajitegemea kwenye utendaji na maamuzi.. Maamuzi ya kesi moja yanaweza yasifanane na nyingine..!! Na ndiyo maana wengine huwa wanahukumiwa hivi, lakini wakikata rufaa hukumu hubadirika..Tumeshawazoea nyinyi nyumbu! Alipofungwa Sabaya mkasema Mahakama imetenda haki ila kwa huyu Gaidi mkubwa mnabwabwaja tuuu. Tulie dawa iwaingie sawasawa ili mpone ugonjwa wenu wa kinyumbu!!
Twambieni nani aliingia kwenye stoo/masijala ya Mahakama na kuiba ile nyaraka na kuwapelekea washitaki wa Mbowe? Funguo za hicho chumba walipata wapi? Kila mahakama ina mkubwa wake. Awajibike kwa kosa hilo la wizi wa Nyaraka na kuwapelekea polisi wanaomshitaki Mbowe, eti alitaka kumdhuru SabayaTumeshawazoea nyinyi nyumbu! Alipofungwa Sabaya mkasema Mahakama imetenda haki ila kwa huyu Gaidi mkubwa mnabwabwaja tuuu. Tulie dawa iwaingie sawasawa ili mpone ugonjwa wenu wa kinyumbu!!