Kwa kinachoendelea Somalia, Je imesahaulika?

geofreyngaga

JF-Expert Member
Joined
Sep 7, 2014
Posts
658
Reaction score
946
Kwa kile kinachoendelea Somalia sioni jitihada za wazi na makusudi za kuwasaidia awa wa-afrika wenzetu. Hata kama sababu ni maisha magumu yaliyo sababishwa na covidi, mafuta kupanda bei na vita vya Ukraine lkn kama binadamu Somalia sio wakuachwa wafe njaa.

Nakubali misaada ipo lkn si kwa kiwango cha tatizo lililopo. Mbaya zaidi nchi zetu za Afrika zipo kimya sidhan kama kuna nchi hata moja imepeleka angalau kibaba cha mahindi, hatuwezi kuwachangia hata kidogo? Tunasubiri Marekani atusaidie alaf akituambia tutambua haki za mashoga kelele kibao.

Sipati picha mateso wanayopitia, kweli uumwe njaa mpaka ufe!! alaf jirani hakusaidii sitegemei kama ukipona utakua binadamu mwenye huruma na upendo kwa chochote kilicho mbele yako.

Na amini kama nchi tukiamua tunaweza kufanya jambo kwa awa ndugu zetu, tusisubiri matamasha ya WE ARE THE WORLD from USA. We can do it here in TZ tujimobilize sector zote na mtu mmoja mmoja kwa support kubwa ya serikali na vyombo vyote radio, TV, wasanii wote etc etc.
Picha kwa hisani ya chanel 24 news
Screenshot_20221006-231812_Chrome.jpg
Screenshot_20221006-231827_Chrome.jpg
Screenshot_20221006-231737_Chrome.jpg
Screenshot_20221006-231808_Chrome.jpg

#TUNAWEZA KUFANYA JAMBO SOMALIA
 
Aisee mungu awape shifas
Somalia viongozi wao wamekalia kugombania madaraka tu mwaka hadi mwaka ni vikao tu vya wajeda na mapolisi na walipko madarakani. Hawana hata muda wa mumobilize resources kupambana na janga la Ukame na njaa.
 
Kwa kile kinachoendelea Somalia sioni jitihada za wazi na makusudi za kuwasaidia awa wa-afrika wenzetu. Hata kama sababu ni maisha magumu yaliyo sababishwa na covidi, mafuta kupanda bei na vita vya Ukraine lkn kama binadamu Somalia sio wakuachwa wafe njaa.
Nakubali misaada ipo lkn si kwa kiwango cha tatizo lililopo. Mbaya zaidi nchi zetu za Afrika zipo kimya sidhan kama kuna nchi hata moja imepeleka angalau kibaba cha mahindi, hatuwezi kuwachangia hata kidogo? Tunasubiri Marekani atusaidie alaf akituambia tutambua haki za mashoga kelele kibao.
Sipati picha mateso wanayopitia, kweli uumwe njaa mpaka ufe!! alaf jirani hakusaidii sitegemei kama ukipona utakua binadamu mwenye huruma na upendo kwa chochote kilicho mbele yako.
Na amini kama nchi tukiamua tunaweza kufanya jambo kwa awa ndugu zetu, tusisubiri matamasha ya WE ARE THE WORLD from USA. We can do it here in TZ tujimobilize sector zote na mtu mmoja mmoja kwa support kubwa ya serikali na vyombo vyote radio, TV, wasanii wote etc etc.
Picha kView attachment 2379251View attachment 2379250View attachment 2379252View attachment 2379261wa hisani ya chanel 24 news
#TUNAWEZA KUFANYA JAMBO SOMALIA
Mambo haya ungetegemea Saudi Arabia, Qatar, UAE, Oman, Turkey watoe misaada ya ubinadamu Somalia. Lakin kimyaaa
 
Somalia viongozi wao wamekalia kugombania madaraka tu mwaka hadi mwaka ni vikao tu vya wajeda na mapolisi na walipko madarakani. Hawana hata muda wa mumobilize resources kupambana na janga la Ukame na njaa.
nimekuelewa vizuri sana mkuu, lkn unadhani ni
WALICHOMA MISAFARA YA MAGARI YA MSAADA BILA AIBU.

HUYU MLETA UZI SIJUI KAMA HAKUSIKIA
Kuna maeneo yanayoshikiliwa na alshabab hayo ni magumu kufikika lkn yapo yaliyochini ya serikali yanafikika lkn hakuna misaada. Lkn wewe una amini misaada haiwezi fika huko baidoa sbb ya alshabab? Yaan dunia iendelee kushuhudia watu wanakufa njaa sbb ya alshabab? Ukweli ni kwamba Dunia haijaamua kuisaidia Somalia, hao mabwana zetu wazungu wasingekua wanashughulishwa na Putin uenda wangeingia mzigoni na chakula kingefika japo kwa minded.
 
Mambo haya ungetegemea Saudi Arabia, Qatar, UAE, Oman, Turkey watoe misaada ya ubinadamu Somalia. Lakin kimyaaa
Mkuu kua huru na usifungwe na hizi imani, tusimamie thamani ya ubinadamu.
 
Inasikitisha sana, kwashakoo na utapia mlo ndiyo tatizo lao kubwa sana...

Ndiyo maana hua wana roho ngumu sana...
 
Back
Top Bottom