Chillah JF-Expert Member Joined Oct 12, 2016 Posts 8,870 Reaction score 10,066 Mar 14, 2018 #22 kilimanjaro cement kilianza kabla hata ya dangote muda kama wa miaka mitatu au minne nyuma... na hiko Goodwill pia... labda kama uzalishaji una anza alafu ujenzi utafata baadae hapo sawa...
kilimanjaro cement kilianza kabla hata ya dangote muda kama wa miaka mitatu au minne nyuma... na hiko Goodwill pia... labda kama uzalishaji una anza alafu ujenzi utafata baadae hapo sawa...
Davet JF-Expert Member Joined Apr 5, 2013 Posts 42,445 Reaction score 205,933 Mar 14, 2018 #23 Hii ni ngumu kumeza
IROKOS JF-Expert Member Joined Aug 13, 2011 Posts 10,182 Reaction score 7,839 Mar 14, 2018 #24 mulisaaa said: Hayo nimawazo yako. Click to expand... ....Kwa hiyo unambishia mhe Mwinjage siyo?