MK254
JF-Expert Member
- May 11, 2013
- 32,408
- 50,809
Pamoja na matani yetu humu ila hili la misiba jameni hapana, poleni sana kwa kweli, kitumbua cha dunia kimeingia mchanga, hao kumi wametajwa tu kwa sababu ni mashuhuri ila walalahoi wengi wanazikwa kimya kimya.
Kuna mara moja moja huwa najikuta nikitamani kwamba rais wetu Uhuru angechukua hatua kama za rais Magufuli za kujiaminisha aminisha kwamba hamna corona, mara maombi yamefanya kazi mara hiki mara kile ilmradi kutupea matumaini na kupuuza hili janga, ila najikuta nikikumbuka hili ni janga la kisayansi na lazima likabiliwe kisayansi maana kwamba upimaji, ukaguzi na tahadhari lazima ziendelee kuwepo, la sivyo kirusi kinazagaa tu na wala hakimjui nani wala nani, iwe una hela au mlalahoi.
Nimesoma taarifa za Dkt. Philipp Mpango anavyohadithia alivyopelekwa kwenye kituo cha afya huku akipumulia mashini ya oxygen, sasa waza walalahoi ngapi wana uwezo huo wa kufungashwa kwenye mashini.
Matajiri na viongozi wengi Tz lazima tayari wameshaanza kutafuta chanjo kimya kimya huku wakitolea matamko ya kuikatalia mbali kila wakihojiwa hadharani, muhimu sana walalahoi wakaanza kuchukua tahadhari na kufahamu hiki kitu kipo na hamna wa kukulinda ila hatua na jitihada zako mwenyewe.
===============
The death of former Bank of Tanzania (BoT) Governor, Prof Benno Ndulu, brings the total number of prominent Tanzanians who have died during the past three weeks to ten.
Prof Ndulu died at dawn yesterday while receiving treatment at the Hubert Kairuki Hospital in Dar es Salaam.
Details about the cause of his death were scanty but close relatives say he had been unwell for weeks before he was admitted ten days ago.
Prof Ndulu’s death comes just two days after Tanzania lost its former Finance and Planning permanent secretary, Dr Servacius Likwelile.
The two had some issues in common. Apart from their economics background, while Dr Likwelile once served as Treasury PS, Prof Ndulu served as BoT Governor for ten years from 2008.
www.thecitizen.co.tz

Former Bank of Tanzania Governor, Prof Benno Ndulu
Prof Ndulu’s death comes just two days after Tanzania lost its former Finance and Planning permanent secretary, Dr Servacius Likwelile.
The two had some issues in common. Apart from their economics background, while Dr Likwelile once served as Treasury PS, Prof Ndulu served as BoT Governor for ten years from 2008.
Death robs Tanzania of 10 prominent citizens