Kwa Kiswahili hiki na Wakenya na Watanzania nani wapo sahihi kwa 100%?

Kwa Kiswahili hiki na Wakenya na Watanzania nani wapo sahihi kwa 100%?

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Joined
Jul 13, 2013
Posts
60,660
Reaction score
121,325
Wakenya wanasema " Timu ya Tanzania ya Yanga SC imebanduliwa mashindanoni "
Watanzania wanasema " Timu ya Tanzania ya Yanga SC imefungwa katika mashindano "

Nani ameongea Kiswahili ' fasaha ' kabisa hapo?

Nawasilisha.
 
Wakenya huwa wanaongea Kiswahili kwa usahihi sana kuliko sisi

Neno 'kubanduliwa' limetumika kwa usahihi hapo ingawa mashabiki wa Yanga watakuja kupinga hapa[emoji23][emoji23]
 
kwa timu ya hovyo hovyo kama yanga twende na neno wamebanduliwa ndio sahihi
 
Wakenya huwa wanaongea Kiswahili kwa usahihi sana kuliko sisi

Neno 'kubanduliwa' limetumika kwa usahihi hapo ingawa mashabiki wa Yanga watakuja kupinga hapa[emoji23][emoji23]

Mkuu kwahiyo Yanga SC wamebanduliwa? Haya Wana Yanga SC popote pale mlipo poleni sana kwa ' Kubanduliwa ' wazi wazi na mchana kweupe na Wakenya huko Nakuru juzi.
 
Back
Top Bottom