Wakenya wanasema " Timu ya Tanzania ya Yanga SC imebanduliwa mashindanoni "
Watanzania wanasema " Timu ya Tanzania ya Yanga SC imefungwa katika mashindano "
Mkuu kwahiyo Yanga SC wamebanduliwa? Haya Wana Yanga SC popote pale mlipo poleni sana kwa ' Kubanduliwa ' wazi wazi na mchana kweupe na Wakenya huko Nakuru juzi.