Kwa kiwango bora cha Simba SC sasa kama ingecheza na Timu iliyocheza na Yanga SC leo CAFCL basi Simba SC ingeshinda hata Goli 10 au 15

Kwenye ligi Simba imekuwa ikifunga goli 1au mbili ukiachia tukio la timu ya mashua.Wakati wenzenu kufungwa goli nne tatu ni kitu Cha kawaida.sasa unasemaje
 
Simba ndio team inayoongoza kutoa kichapo kikali kwenye mashindano ya CAFCL na CAFCC
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…