Kwa kiwango cha Morrison uwanjan Mwakalebela uombe radhi Wanayanga

Kwa kiwango cha Morrison uwanjan Mwakalebela uombe radhi Wanayanga

Pdidy

JF-Expert Member
Joined
Nov 22, 2007
Posts
57,951
Reaction score
32,619
Nilimsikia Mh. Mwakalebela akisema Morrison amesimamishwa kucheza mpaka kesi ya Yanga iishe.

Kwa kiwango cha Morrison leo Mwakalebela utuombe radhi Wanayanga.

Morrison anaendelea kucheza na ujaita waandishi kama kawaida kuelezea mlichokutana nacho huko FIFA tena.

Nashauri tumwache aendelee na mpira wake ila Wanayanga mlipigwa mchanga wa machoo.

Kazi ipo


Pole sana Kaze
 
Masikini vidimbwi wanazidi kukekereka tu
IMG-20210218-WA0016.jpg
 
Kuongoza Yanga sio kazi,hata Pier Liquid anaweza.
Kuzishika akili za mashabiki wa Uto aihitaji degree ukiwa fundi wa kupanga maneno tu inatosha.
Basi wampe uongozi Nugaz big chawa wa GSM.
 
MAMBO 5 YANAYOTHIBITISHA KUWA WASHABIKI WA YANGA HAWANA AKILI NA "UNEDUCATED” KAMA ALIVYOSEMA EYMAEL.

1) Kitendo chao cha kishamba kuvamia Airport kila wanaposajili mchezaji hata kama ni garasa.

2) Kusifia timu ya kigeni kuwa haikamatiki lakini ikishafungwa na Simba tu wanageuza maneno na kusema ni mbovu kama walivyofanya kwa Plateau, Platnum na AS Vita.

3) Kipindi wapo Vizuri kuliko Simba na wanashiriki wao Mashindano ya Kimataifa walikuwa Wakijisifia kupanda ndege tu na kujiita Wakimataifa huku wakiwaita Simba Wamatopeni, Hawakuwa na malengo yoyote ya maana kwenye mashindano hayo.

4) Kutokuwa wabunifu wa chochote na kuishia kuiga mambo kutoka Simba kama vile kuiga 'Siku ya Simba (Simba Day)' kwenda 'Siku ya Wananchi (Wananchi Day)'.

5) Mwisho na baya zaidi ni tabia yao ya kuamini kila wanachodanganywa na Enjenea Herse pamoja na Mwakalebela kama vile usajili wa Tshishimbi, Morrison, kuaminishwa kuwa msimu huu lazima wabebe ubingwa, Kudanganywa kuwa wamefungua kesi dhidi ya Morrison huko CAS wakati sio kweli, Kudanganywa kuwa Morrison hatocheza tena Simba mpaka kesi iishe na Simba itapokonywa points zake zote.

Yani jamaa hawana akili kabisa.
 
Kuongoza Yanga sio kazi,hata Pier Liquid anaweza.
Kuzishika akili za mashabiki wa Uto aihitaji degree ukiwa fundi wa kupanga maneno tu inatosha.
Hata Simba kuziongoza akili ya ubonho wa Mende.
 
Hata Simba kuziongoza akili ya ubonho wa Mende.
Kuna shabiki wenzio wanata kuandamana kwenda Ikulu ya Magogoni kupeleka malalamiko yao kwa Magufuli.
Kwani Magufuli ndo msimamizi wa merafa au ndo kiongozi wa body ya ligi?
Yanga mtaacha lini ushamba?
 
Mleta uzi umetabiri sahihi kabisa.
Ni kweli Mwakalebela kaitisha waandishi wa habari kuongea viroja.
 
Back
Top Bottom