MAMBO 5 YANAYOTHIBITISHA KUWA WASHABIKI WA YANGA HAWANA AKILI NA "UNEDUCATED” KAMA ALIVYOSEMA EYMAEL.
1) Kitendo chao cha kishamba kuvamia Airport kila wanaposajili mchezaji hata kama ni garasa.
2) Kusifia timu ya kigeni kuwa haikamatiki lakini ikishafungwa na Simba tu wanageuza maneno na kusema ni mbovu kama walivyofanya kwa Plateau, Platnum na AS Vita.
3) Kipindi wapo Vizuri kuliko Simba na wanashiriki wao Mashindano ya Kimataifa walikuwa Wakijisifia kupanda ndege tu na kujiita Wakimataifa huku wakiwaita Simba Wamatopeni, Hawakuwa na malengo yoyote ya maana kwenye mashindano hayo.
4) Kutokuwa wabunifu wa chochote na kuishia kuiga mambo kutoka Simba kama vile kuiga 'Siku ya Simba (Simba Day)' kwenda 'Siku ya Wananchi (Wananchi Day)'.
5) Mwisho na baya zaidi ni tabia yao ya kuamini kila wanachodanganywa na Enjenea Herse pamoja na Mwakalebela kama vile usajili wa Tshishimbi, Morrison, kuaminishwa kuwa msimu huu lazima wabebe ubingwa, Kudanganywa kuwa wamefungua kesi dhidi ya Morrison huko CAS wakati sio kweli, Kudanganywa kuwa Morrison hatocheza tena Simba mpaka kesi iishe na Simba itapokonywa points zake zote.
Yani jamaa hawana akili kabisa.