Kwa kiwango hiki cha simba, Tumepigwa kitu kizito

Labani og

JF-Expert Member
Joined
Sep 15, 2020
Posts
19,637
Reaction score
29,473
Habari wana jf sports
Acha tuseme ukweli penye ukweli
Bado kuna kitu hakipo sawa, kwenye timu ya simba hata timu kuanzisha mashambulizi kwenda mbele ni tabu wanacheza sana back pass muda mwingi,mipira ikifika kati bado wachezaji wanakaa sana na mipira,

Chama anacheza sana mpira wa taratibu (slow motion) kiasi kwamba anafanya timu kupoa .......huu ni aina ya mpira wa kienyeji uliopitwa na wakati.....kimataifa tunahitaji timu zenye mpira wa kasi .....( Zoran ajifunze kwa prof..nabi)

Banda anajitahidi sana kupiga pasi mpenyezo.
wanakosa sana magoli ya wazi,mechi ya simba wangecheza mpira wa kasi na Kagera walikua washinde hata goli tano.

Mzungu bado tumepigwa
Mzungu ukimtazama sana utamuona ana mpira wa Cr 7........ ukimzoom tena utamuona ni lewandowsk mtupu .....ila matendo yake yanakuja ku mreveal kuwa huyu ni yikpe mtupu[emoji23][emoji23]
Mzungu mechi ya kagera kafunga bila kipa kuwepo golini....ila wanasimba tulivyoshangilia sasa (inasikitisha)

NB: simba boresheni hayo niliyowaambia mtafanya vzr kimataifa ....mzungu ni mandonga mweupe.....

Je wewe umeona madhaifu yapi ya simba.( wanalunyasi )???????

By mchambuzi from tukuyu
Nipo tayari kuhesabiwa
View attachment 2332046
 
Next week tunamleta Manzoki kuwa mpole coach anatengeneza team na uwiano baina ya players.
 
Hawa nyani kila kukicha wanafungua uzi kuhusu simba dah
 
Ndiomaana mzungu wa yanga alituita manyani, kazi kubwekabweka tu
 
Idadi ya wajinga inaongezeka kwa kasi sana huko Yanga
 
Yaani we bwege kweli. Kwahyo hapo uzi tayariπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

Nyie utopolo hivi msipoizungumzia Simba mnapatwa na tumbo la kuhara auπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Wana Simba tulishakubaliana, thread za kiwaki zinazoanzishwa na wakuda ni kuzipuuzq bila ku-comment.

Nilikuwa nawakumbusha hilo wanna Lunyasi wenzangu. Tusiwe tunakoment kwenye thread za kiwaki
Tatizo wewe ni shabiki....sio mdau wa michezo ( short sighted person[emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…