Kwa kufata hatua hizi unaweza kuzalisha malisho yako mwenyewe nyumbani

Mnazi kuyumba

New Member
Joined
Jun 7, 2013
Posts
4
Reaction score
37
HATUA ZA KUZALISHA HYDROPONIC FODDERS

Na Comrade Ally Maftah
0762212623

TREY ZA HYDROPONIC FODDER NI SH 3500

UKINUNUA TREI KITABU CHA UFUGAJI NI BURE NJOO INBOX NIKUTUMIE

Kwa kufata hatua hizi unaweza kuzalisha malisho yako mwenyewe nyumbani.

Chagua mbegu ambazo hazijaanza kuchipua, na hazina kemikali ama dawa ya aina yoyote.
Loweka mbegu katika mchanganyiko wa maji na Chlorine kwa masaa mawili kuepusha kuvu/uvundo ama vimelea vya magonjwa kumea na kukua.
Zitoe mbegu kwenye maji, zioshe kasha ziloweke kwenye maji safi kwa masaa 24 kuwezesha mbegu kufyonza maji vema.
Katika kupanda mbegu, pima kilo mbili za mbegu kwa kila trei yenye urefu wa Cm 80 kwa upana wa Cm 40.
Sambaza mbegu kwenye trei kwa usawa, (zisizidi Cm 3 kimo) ili kuwe na nafasi ya kutosha kwa kila mbegu kuchipua (kuota).
Hakikisha trei zina matundu kwenye kitako (chini) ambayo yamesambaa kwa usawa kuwezesha maji ya ziada kutoka.
Hamishia trei kwenye chanja ulizotengeneza. Mbegu zitaanza kuota katika hatua hii. Fanya hii ni siku ya kwanza.
Zifunike mbegu zako zisipigwa na jua kali mpaka zianze kuota
Nyunyizia maji (kwa pampu) toka siku ya kwanza hadi ya sita, kwa mara nne katika kila masaa 24.

ZINGATIA.
Mbegu zenye dawa au sumu yoyote ni hatari kwa wanyama. zinaweza kuwadhoofisha ama kuwaua. hakikisha hautumii mbegu zenye dawa.

Jinsi ya kulisha
Kuku: kwa kuku 100 wanaotaga (layer) wape kilo 8 za hydroponics na waongezee kilo 4 za chakula cha ‘layer’ (layer mash) kwa siku.

Ngómbe, mbuzi: wanaweza kutegemea majani haya tu na kuwa na uzalishaji mzuri bila nyongeza ya mchanganyiko wa nafaka. Kama uzalishaji wa maziwa ni mkubwa sana (zaidi ya lita 12 kwa siku) ni vema kuwaongezea nafaka.

Sungura: wanaweza kutegemea majani haya tu lakini ni vema kuwapa nyongeza ya mchanganyiko wa nafaka kwa uwiano wa 50%)View attachment 2214564View attachment 2214565
images%20(4).jpg
 
HATUA ZA KUZALISHA HYDROPONIC FODDERS

Na Comrade Ally Maftah
0762212623

TREY ZA HYDROPONIC FODDER NI SH 3500

UKINUNUA TREI KITABU CHA UFUGAJI NI BURE NJOO INBOX NIKUTUMIE

Kwa kufata hatua hizi unaweza kuzalisha malisho yako mwenyewe nyumbani.

Chagua mbegu ambazo hazijaanza kuchipua, na hazina kemikali ama dawa ya aina yoyote.
Loweka mbegu katika mchanganyiko wa maji na Chlorine kwa masaa mawili kuepusha kuvu/uvundo ama vimelea vya magonjwa kumea na kukua.
Zitoe mbegu kwenye maji, zioshe kasha ziloweke kwenye maji safi kwa masaa 24 kuwezesha mbegu kufyonza maji vema.
Katika kupanda mbegu, pima kilo mbili za mbegu kwa kila trei yenye urefu wa Cm 80 kwa upana wa Cm 40.
Sambaza mbegu kwenye trei kwa usawa, (zisizidi Cm 3 kimo) ili kuwe na nafasi ya kutosha kwa kila mbegu kuchipua (kuota).
Hakikisha trei zina matundu kwenye kitako (chini) ambayo yamesambaa kwa usawa kuwezesha maji ya ziada kutoka.
Hamishia trei kwenye chanja ulizotengeneza. Mbegu zitaanza kuota katika hatua hii. Fanya hii ni siku ya kwanza.
Zifunike mbegu zako zisipigwa na jua kali mpaka zianze kuota
Nyunyizia maji (kwa pampu) toka siku ya kwanza hadi ya sita, kwa mara nne katika kila masaa 24.

ZINGATIA.
Mbegu zenye dawa au sumu yoyote ni hatari kwa wanyama. zinaweza kuwadhoofisha ama kuwaua. hakikisha hautumii mbegu zenye dawa.

Jinsi ya kulisha
Kuku: kwa kuku 100 wanaotaga (layer) wape kilo 8 za hydroponics na waongezee kilo 4 za chakula cha ‘layer’ (layer mash) kwa siku.

Ngómbe, mbuzi: wanaweza kutegemea majani haya tu na kuwa na uzalishaji mzuri bila nyongeza ya mchanganyiko wa nafaka. Kama uzalishaji wa maziwa ni mkubwa sana (zaidi ya lita 12 kwa siku) ni vema kuwaongezea nafaka.

Sungura: wanaweza kutegemea majani haya tu lakini ni vema kuwapa nyongeza ya mchanganyiko wa nafaka kwa uwiano wa 50%)View attachment 2214564View attachment 2214565View attachment 2214566
Hizo ni mbegu gani boss?
 
Back
Top Bottom