bukoba boy
JF-Expert Member
- Jan 15, 2015
- 5,370
- 3,962
Bank tajwa hapo juu ni Public Limited Company yaani inamilikiwa na watu wa kawaida pamoja na mashirika kadhaa.
Ila ni nani anayewafahamu watu/mashirika yenye kumiliki hisa nyingi kwenye hii bank?
Kwa nini taarifa kama hizi zinakua hazipo wazi Tanzania? Wakati nchi nyingine kila kitu kiko wazi?
Sawa,vipi wewe mkuu unawajua?CRDB imeandikishwa DSE na wamiliki wake wanajulikana kupitia soko hilo wala sio siri. Nashauri uende pale utawajua
Sawa,vipi wewe mkuu unawajua?
Hata mimi nilishawai kua mmoja wao,vipi una % ngapi wewe?Tupo wengi mm ni mmojawapo
Google mjomba utazionaBank tajwa hapo juu ni Public Limited Company yaani inamilikiwa na watu wa kawaida pamoja na mashirika kadhaa.
Ila ni nani anayewafahamu watu/mashirika yenye kumiliki hisa nyingi kwenye hii bank?
Kwa nini taarifa kama hizi zinakua hazipo wazi Tanzania? Wakati nchi nyingine kila kitu kiko wazi?
It's not for public consumptionHata mimi nilishawai kua mmoja wao,vipi una % ngapi wewe?
@Davion DelmonteMtoa mada ungeuliza ungejibiwa.. ila navojua main share holder wa crdb ni DANIDA wana kama 25% then kuna PPF wana kama 10% halafu kuna 50% ni public na taasisi ndogo ndogo... naomba utafute zaidi kwenye website yao hizo taarifa sio za siri wala
Ni kweli mkuu watu wengi wanapenda sana maneno yasiyo ya kweli. hao wakina sumaye watakuwa wanamiliki asilimia chache sana na wala sio hata main shareholders@Davion Delmonte
Nshazipata ila zinakataa kuattach,kumbe zile taarifa mara Mengi mara Sumaye ni uzushi tu labda kama wapo kwenye holders wenye < than 1%.
http://crdbbank.com/tz/shareholding-structure.html
To precise DANIDA INVESTMENT FUND 21.5%
PPF 10%
Kadhaa wana 1% na kuendelea ila haifiki 10%
Na majority akina sisi wa below 1% ndio tupo wakutoshaaa.
Ila wanaofaidi dividends ni hao wakubwa tu wengine tunawasindikiza tu..nimeona kuna kipindi earning per share ilikua 15/=