Kwa kuwa Rais Samia bado hasemi chochote kuhusu Katiba Mpya hatutanyamaza

technically

JF-Expert Member
Joined
Jul 3, 2016
Posts
12,706
Reaction score
52,355
Katiba mbovu imesababisha ubovu wa mifumo ya nchi angalia Ndungai anavyo leta aibu bungeni.

Analia Nguvu aliyonayo Rais wa Tanzania na akifanya liwe baya liwe zuri hakuna wa kuhoji chochote.

Angalia mifumo ya kimahakama wanaweza mfunga au kumuachia yeyote bila ya kufuata sheria au kutumia sheria mbovu zilizopo.

Yanayoendelea juu ya wabunge 19 ndio ushahidi tosha kwamba nchi inahitaji katiba.

Nchi ilikuwa mikononi mwa washamba watu tukapiga kelele mpaka Mungu akajibu wakaachia sasa imerudi mikononi mwa wajanja wajanja wa mjini(Waswahili) je tutapona!?

Sasa mnataka tunyamaze tunyamaze kwa lipi?

Je kwa katiba hii tutapona kupigwa au pesa zitachotwa kama njugu na story zile zile kulindana zitaendelea kwa kuweka mtu ndani ya taasisi ya urais ili kumtumikisha mbeleni kama ilivyo sasa?

Je, tutapona kuongozwa na mfumo corrupt kama tulivyoongozwa na mfumo wa kidicteta na kufunika mambo?

As long as "The beautiful one has not yet born" tutaendela kupiga kelele tu.

Mpaka pale tutakapopata Rais mwenye sifa zote anayeweza kupambana na ufisadi kwa uchungu uku akileta Uhuru wa kujieleza na maendeleo ya kweli na kutokumbatia makundi ya upigaji ndani ya taasisi ya Urais huku akituletea katiba mpya yenye uwezo wa kumshitaki hata yeye kwa makosa aliyofanya akiwa madarani.

Ila ukweli bado safari ni ndefu sana Kikundi kilichomzunguka Samia ni hatari zaidi kuliko kikundi chochote toka tupate Uhuru.

Mama anatakiwa kuanzisha mambo yake ambayo atasimamia na kuweka historia yake na sio kutembelea kwenye viwili wili vya Kikwete Magufulina jambo kubwa la kumpa heshima ni katiba Mpya.
 
Siku zote katiba moya huja baada ya minyukano , hakuna cha bure
 
katiba mpya ni muhimu,ila je mama ana jeuri ya kuileta katiba mpya?
 
Katiba mbovu imesababisha ubovu wa mifumo ya nchi angalia Ndungai anavyo leta aibu bungeni.

Analia Nguvu aliyonayo Rais wa Tanzania na akifanya liwe baya liwe zuri hakuna wa kuhoji chochote.

Angalia mifumo ya kimahakama wanaweza mfunga au kumuachia yeyote bila ya kufuata sheria au kutumia sheria mbovu zilizopo.

Yanayoendelea juu ya wabunge 19 ndio ushahidi tosha kwamba nchi inahitaji katiba.

Nchi ilikuwa mikononi mwa washamba watu tukapiga kelele mpaka Mungu akajibu wakaachia sasa imerudi mikononi mwa wajanja wajanja wa mjini(Waswahili) je tutapona!?

Sasa mnataka tunyamaze tunyamaze kwa lipi?

Je kwa katiba hii tutapona kupigwa au pesa zitachotwa kama njugu na story zile zile kulindana zitaendelea?

Kwa kuweka mtu ndani ya taasisi ya urais ili kumtumikisha hapo 2025 kama ilivyo sasa?

Je tutapona kuongozwa na mfumo corrupt kama tulivyoongozwa na mfumo wa kidicteta na kufunika mambo?

As long as "The beautiful one has not yet born" tutaendela kupiga kelele tu.

Mpaka pale tutakapopata Rais mwenye sifa zote anayeweza kupambana na ufisadi kwa uchungu uku akileta Uhuru wa kujieleza na maendeleo ya kweli na kutokumbatia makundi ya upigaji ndani ya taasisi ya Urais huku akituletea katiba mpya yenye uwezo wa kumshitaki hata yeye kwa makosa aliyofanya akiwa madarani.

Ila ukweli bado safari ni ndefu sana Kikundi kilichomzunguka Samia ni hatari zaidi kuliko kikundi chochote toka tupate Uhuru.

Mama anatakiwa kuanzisha mambo yake ambayo atasimamia na kuweka hostoria yake na sio kutembelea kwenye viwili wili vya Kikwete Magufulina jambo kubwa la kumpa heshima ni katiba Mpya.
Unajidanganya, mama anajua uzuri wa katiba hii tumemaliza salama kipindi cha mpito, kwa sababu ya katiba hii halafu wewe unataka kuleta katiba mpya ili iweje.
 
Katiba mbovu imesababisha ubovu wa mifumo ya nchi angalia Ndungai anavyo leta aibu bungeni.

Analia Nguvu aliyonayo Rais wa Tanzania na akifanya liwe baya liwe zuri hakuna wa kuhoji chochote.

Angalia mifumo ya kimahakama wanaweza mfunga au kumuachia yeyote bila ya kufuata sheria au kutumia sheria mbovu zilizopo.

Yanayoendelea juu ya wabunge 19 ndio ushahidi tosha kwamba nchi inahitaji katiba.

Nchi ilikuwa mikononi mwa washamba watu tukapiga kelele mpaka Mungu akajibu wakaachia sasa imerudi mikononi mwa wajanja wajanja wa mjini(Waswahili) je tutapona!?

Sasa mnataka tunyamaze tunyamaze kwa lipi?

Je kwa katiba hii tutapona kupigwa au pesa zitachotwa kama njugu na story zile zile kulindana zitaendelea?

Kwa kuweka mtu ndani ya taasisi ya urais ili kumtumikisha hapo 2025 kama ilivyo sasa?

Je tutapona kuongozwa na mfumo corrupt kama tulivyoongozwa na mfumo wa kidicteta na kufunika mambo?

As long as "The beautiful one has not yet born" tutaendela kupiga kelele tu.

Mpaka pale tutakapopata Rais mwenye sifa zote anayeweza kupambana na ufisadi kwa uchungu uku akileta Uhuru wa kujieleza na maendeleo ya kweli na kutokumbatia makundi ya upigaji ndani ya taasisi ya Urais huku akituletea katiba mpya yenye uwezo wa kumshitaki hata yeye kwa makosa aliyofanya akiwa madarani.

Ila ukweli bado safari ni ndefu sana Kikundi kilichomzunguka Samia ni hatari zaidi kuliko kikundi chochote toka tupate Uhuru.

Mama anatakiwa kuanzisha mambo yake ambayo atasimamia na kuweka hostoria yake na sio kutembelea kwenye viwili wili vya Kikwete Magufulina jambo kubwa la kumpa heshima ni katiba Mpya.
Katiba mpya italetwa na wananchi siyo wanasiasa wala vyama vya siasa.
 
Back
Top Bottom