Kwa kuwa tayari Tanzania imeudhihirisha ulimwengu kuwa tayari imeshinda Vita ya ugonjwa wa Korona na Hadi sasa in wagonjwa wasiofika hata 20 kwa nchi nzima, nazishauri nchi za magharibi ambazo bado zinatoa misaada kwa serikali ya Tanzania yenye lengo la kupambana na virusi vya Korona, nchi hizo zisitishe misaada hiyo Mara moja, badala yake misaada hiyo ielekezwe kwenye nchi ambazo bado zina changamoto ya kuenea kwa virusi vya Korona.
Nchi hizo Ni Kama vile Kenya, Uganda, South Africa n.k.
Itakuwa Ni uharibifu wa pesa kuipa pesa nchi ambayo tayari imetanaibasha kuwa kwa zaidi ya mwezi mmoja sasa haina ongezeko la mgonjwa wa Korona wakati zipo nchi ambazo idadi ya waathirika imeongezeka Mara dufu ndani ya kipind I kifupi.
Ni vyema pesa hiyo ikaelekezwa sehemu ambazo zinathirika zaidi ili kuokoa maisha ya Watu.
Mungu ibariki Afrika na dunia kwa ujumla.