Kwa kuwa walioshinda bila kupingwa Serikali za Mitaa wanajulikana katika ofisi za CCM tu, wananchi hawawajui, wapite kila nyumba kujitambulisha

chiembe

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2015
Posts
16,859
Reaction score
28,112
Mamilioni ya wananchi hawawajui hawa walioshinda bila kupigiwa kura, wanafahamika kwa viongozi wa CCM tu. Nadhani ni busara walazimishwe kupita kila nyumba kusalimia na kujitambulisha.
 
haya hili nalo wazo ngoja waje nafikiri wapo humu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…