Tetesi: Kwa kweli hii shilingi yetu hii "Itatutoa roho siku moja" toka jana ni 2300.

Tetesi: Kwa kweli hii shilingi yetu hii "Itatutoa roho siku moja" toka jana ni 2300.

malisoka

JF-Expert Member
Joined
Jul 8, 2012
Posts
1,860
Reaction score
2,636
Toka jana hii shillingi yetu inaporomoka ipo sasa shs 2300 kwa dola.

Je tutafika, tutachomoka?

Na jana nchini Kenya nimesikia shirika moja kubwa la fedha likitangaza chumi nyingi za East Afrika zimeporomoja.

Na pia katika nchi zinazokua uchumi kwa kasi Tanzania yetu tuyojisifia sana. Haipo kwenye nchi zenye uchumi bora.

Hivi wenzangu mnajua tumapoelekea?
 
Back
Top Bottom