kwani yuko mbali wapi ?, siku hizi kama huko alipo kuna connection ya Internet mnaweza mkawa mnachat na mkiwa na webcam mnaweza mkafanya mambo mengi..., Kwanini unataka usimfikilie..?,
kumbuka out of sight out of mind, na bila kukumbushana na kujuliana hali, sooner than later unaweza ukawa ushamsahau wewe bila kujua.
Just keep yourself busy fanya kazi and keep communication ya simu, email na mambo mengine
je na yeye anakuwaza na kukumiss kama wewe? Wengine hawapigi hata simu mpaka upige wewe, usipopiga ndo kimyaaa!
Ushauri mzuri....ningekushauri pia spend time with friends ulionao huko ulipo.....have fun.....usikae unawaza hadi kutaka kulia.....:coffee:
Upi huo tena?Hehehe huo ni ug0njwa sasa...