Kwa kweli mzee mwinyi allah akupe tahafif. Ulifanya waalimu kwa upande kwa zanzibar wanakipwa transport allowance

Kwa kweli mzee mwinyi allah akupe tahafif. Ulifanya waalimu kwa upande kwa zanzibar wanakipwa transport allowance

Mama Edina

JF-Expert Member
Joined
Dec 18, 2022
Posts
850
Reaction score
2,019
Ni rais pekee aliyehakikisha mwalimu analipwa stahiki hii ambayo imepuuzwa upande wa bara.

Katika kada ambayo itaendelea kuwafanya viongozi wa bara waende na mzigo wa dhambi ni kuidharau kada ya ualimu.

Ni kikwete pekee aliyebaki amwambie Mama kizimkazi asifanye kosa la kudharau waalimu.

Nyumba hawana
Usafiri hawana

Kila siku wao na bodaboda, hizo Bukubuku za bodaboda dhambi kwa maviongozi. Afisa elimu hatasafiri kwenda kufuatilia mashuleni bila gari la wilaya. Mwalimu ni kama takataka kwao. Hii dhambi itawatafuna na utakwisha wote
 
Back
Top Bottom