Kwa kweli mzumbe maisha ni magumu sana {kitaalumu},maisha ya uku ni mchaka mchaka!!idadi ya test kwa wiki kwangu mimi naiona ni kubwa sana,yaani unakuwa mpaka na test 4 au 5 kwa wiki.
Vyuo vingine maisha kama MU au hapa kumezidi???
Ukiwa kilaza ndani ya semester moja unakuwa ushatengeneza ngoma zako nne {disko wa fail ya masomo ma 4}.
Kwakweli Mzumbe muhisikie huko huko mukiwa kwenye vijiwe vyenu vya kahawa,lakini kwa swala zima maisha lazima uwe na roho ya mpaka.
MU=MILITARY UNIVERSITY.
NOTE:
Wadogo na watoto wenu vilaza musiwarusu kuja huku, mwisho mutawapa lawama bure.

MU=MILITARY kweli we kilaza yani hvyo tu unaanza kulia ungekua udsm c ungeomba udisco mwnyewe... Kaza na ka vp karibu kwenye u.e ya taifa trh 23 uone maisha yalivyo

Sasa nyie wa Udsm mnafanya UE tar 23 kwan mmesoma nini??ninavyojua mm na Uma wote wanafahamu kama semester 1 yote mulikuwa kwny harakati.Au UE ni fashion,lazima kila chuo kifanye kipindi hki eeeeh...???
Kwa kweli mzumbe maisha ni magumu sana {kitaalumu},maisha ya uku ni mchaka mchaka!!idadi ya test kwa wiki kwangu mimi naiona ni kubwa sana,yaani unakuwa mpaka na test 4 au 5 kwa wiki.
Vyuo vingine maisha kama MU au hapa kumezidi???
Ukiwa kilaza ndani ya semester moja unakuwa ushatengeneza ngoma zako nne {disko wa fail ya masomo ma 4}.
Kwakweli Mzumbe muhisikie huko huko mukiwa kwenye vijiwe vyenu vya kahawa,lakini kwa swala zima maisha lazima uwe na roho ya mpaka.
MU=MILITARY UNIVERSITY.
NOTE:
Wadogo na watoto wenu vilaza musiwarusu kuja huku, mwisho mutawapa lawama bure.
Sasa nyie wa Udsm mnafanya UE tar 23 kwan mmesoma nini??ninavyojua mm na Uma wote wanafahamu kama semester 1 yote mulikuwa kwny harakati.Au UE ni fashion,lazima kila chuo kifanye kipindi hki eeeeh...???
UDSM INAKUPA SHIDA SANA NDUGU YANGU. NILIWAHI KUKUSHAURI KWAMBA JITAHIDI UJE USOME HATA MASTERS UDSM LABDA AKILI YAKO ITATULIA. UDSM KUFANYA UE SHIDA YAKE NINI, WALIGOMA SAWA LKN HAWAKUFUKUZWA CHUO. KUMBUKA, WALIKUWA WANAKOSA DARASA SIKU MOJA, THEN SIKU YA PILI WANAINGIA DARASANI NA MASOMO KUENDELEA KAMA KAWAIDA. KUMBUKA, KAMA WANGEGOMA SIKU 3 MFULULIZO, THEN HATA UE ISINGEKUWEPO KWASASA, KWANI WANGEFUKUZWA CHUO.
PIA, NI VIZURI CHUO KINA PROGRAMME ZAKE NA NDIYO MAANA SEMESTER INAPOANZA INAKUWA WAZI KABISA KWAMBA UE ITAANZA WIKI YA NGAPI NA HIVYO KILA MWALIMU ANAPANGA RATIBA YAKE NDANI YA MUDA ULIOPANGWA.
naona kilichokuleta hapa ni ujanja ujanja tu wa kutaka kulinganisha vyuo.uliona chuo gani chenye test 5 kila wiki? kwa hiyo unataka kunambia semister nzima kila somo lina test si chini ya 10 per semister? na hizo module mnazisoma saa ngapi? coz lecture saa moja, test saa moja. we alokwambia kilaza anafika chuo kikuu nani? au shida yako kujaza tu server za JF.