Kwa kweli mzumbe najuta kuifahamu...!!


Inavyoonesha wewe mwanafunzi KIA au St.john=mazengo sec!!!chuoni kwnu kipimo assignment nn??
 
mzumbe masomo yao kuimba ngonjera na mashairi hata mtu aliyemaliza darasa la saba anaweza kusoma na akapata gpa ya juu tatizo lww sio msomaji

Msomaji wewe,haya furahi sasa!!kubwa zima linaandika upupu.AU unatumia Misaburi yako kutype.??
 

Kaza ****** soma kwa bidii ukishindwa nenda Tumaini iringa utapewa cheti chako hata bila kusoma bora uwe umelipa fee yao tu.
 

sidhani kama nipagumu,hebu uliza Mwenge University kwa aliyesoma pale au anayepafahamu.
 
Mzumbe is just an academic village na sio Military university kama Mr Mzumbe anavyodai. Mwenyewe nimesoma SUA na watu wa Mu wanaongoza kwa kula bata na bash kwa kwenda mbele!
 

Sasa ndugu yangu kama hata kiswahili hujui nawasiwasi na hata uliingiaje hapo mzumbe, nyie ndo vilaza mnao ibia mitihani zeni mnaenda vyuo. Huwezi kutuandikia kiswahili ambacho hata mtoto wa darasa la 3 hawezi kukiandika. Rudi darasana kusoma wewe.
 
Tatizo Mr Mzumbe unakata kiu sana na kuhudhuria vibanda vya chang'aa kule changarawe, kwanini usione maisha magumu?

ha ha ha ha!...kumbe mambo ya kukata kiu bado yapo..kuna mshikaji wangu pale alikuwa bingwa wa izo ishu,haswa kuwakatia kiu mademu.
 
Sasa ndugu yangu kama hata kiswahili hujui nawasiwasi na hata uliingiaje hapo mzumbe, nyie ndo vilaza mnao ibia mitihani zeni mnaenda vyuo. Huwezi kutuandikia kiswahili ambacho hata mtoto wa darasa la 3 hawezi kukiandika. Rudi darasana kusoma wewe.

Wewe kwli HAMNAZO,..kuna mahusiano gani kati ya kujoin MU na kiswahili???huja jipya,wewe ni walewale "cameruni senetors"
 
Kuna jamaa yangu alipata dvsn 3 ya 15, akahonga laki5 akapata nafas hapo mzumbe.....
Mi nafkiri kuna v2 vng vya kujadili zaidi la hlo lako la kufagilia chuo kama utakaa hapo milele,
exposure ikiwa dogo huwa n tatzo, unanikumbusha ka hadth ka bwana kpofu alyepata bahati ya kuona kwa mara1 na kw bahati akamuona ng'ombe kabla hajarudshwa kwenye upofu..bas kila alchockia,ye kwake n km ng'ombe.....
 
Kuna brazaangu ni lecturer hapo hapo mzumbe yaani anawahurumia wanafunzi wa hapo kwani anadai ni vilaza wa kufa mtu, na chanzo ni kuenroll wenye ushindi wa chini,
 
Vituko vingine bana......Huyu mleta post hii nina hofu kama kweli ni mwanafunzi hapo Mzumbe na kama ni mwanafunzi pale sijui alifika hapo kwa mbinu gani, maana hata uandishi wake umeonesha ni kilaza.Kajaribu ujinga ndugu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…