Friedrich Nietzsche
JF-Expert Member
- Sep 22, 2022
- 2,095
- 3,649
Microscope na vipimo vingine ni bei yake zaidi ya hiyo, unless iwe ni kodi tu.
Unless otherwise niwe sijaelewa maabara unayotaka kufungua inadeal na nini.
Sasa hiyo ni maabara au kichekeshooMaaabara ya vipimo vya magonjwa tofauti tofauti
nitaanza na Rapid test
Sasa hiyo ni maabara au kichekeshoo
kifupi huwezi.
Una kitu. Hiyo portable device ni bei gani mkuuUkikua kibiashara(not now) tuwasiliane, kuna portable device ukiwa nayo you'll make money. Inapima more than 100 diseases from gastrointestinal, hormonal to thyroid.. etc
3m mkuu. Reagents zipo kwa uhakika sana.Una kitu. Hiyo portable device ni bei gani mkuu
Safi sanaBudget ya laki tano
Nunua Mrdt 2 zakuanzia
Upt box 1
Hiv kit 1
gloves box 1
hivo hata laki haiishi
Tafuta microscope used kwa la3
chumba lipa miez2 (50*2)
Dawa si lazima uwe nazo utakua unawaandikia wakanunue
anza na hapo utaja nishukuru
vibali.. vya serikali?Budget ya laki tano
Nunua Mrdt 2 zakuanzia
Upt box 1
Hiv kit 1
gloves box 1
hivo hata laki haiishi
Tafuta microscope used kwa la3
chumba lipa miez2 (50*2)
Dawa si lazima uwe nazo utakua unawaandikia wakanunue
anza na hapo utaja nishukuru