Kwa Laki 5 naweza nikafungua Maabara?

Wakuu nataka nifungue maabara ndogo.

Elewa hapo ndogo! Ila nina mtaji wa laki tano je unatosha kufungua Maabara ndogo ya kuanzia nikipata hela nitakuwa naongezea vitu!

Wataalam wa Afya nawaomba hapa!
Hapa ni muhimu kuelewa kwanza:
1: Eneo(kama ni nje ya mji au jiji).
2: Mtoa huduma (kama ni wewe binafsi).
3: Nyumba/chumba ni chako
4: Kama sehemu kubwa ya majibu ni ndiyo, basi mdau mwenye ujumbe namba 8 (Rio), ongeza dipstick za mkojo na uanze kazi.
 
Laki tano hiyo inaishia kwenye kodi na kutengeneza mazingira ya hilo eneo yakae ki maabara ( utakuwa umeelewa). Pia kumbuka kuna kununua meza na viti na vitu vidogo vidogo kama dustbin nk..
 
Maabara unayotaka kufungua ni ya udongo ila kama upo serious fanya research ujue vinavyohitajika nini halafu bei zake zipoje uchukue mkopo na kabla hujachukua angalia benki ipi inariba kidogo ila nzuri ni equaty benki na pia angalia mkopo unaoukopa unaweka akiba maana lazima uajiri na mtu mmoja wakuanzia.
Even salary je unaweza kumlipa na nihow much.?
Angalia advantage ya biashara hiyo na hasara zake na back up uwe nayo umeerewa?? Kijana kafanye hayo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…