Wakubwa nataka kutumia laptop isiyo na option ya fire wire pin kwa ajili ya ku-capture video direct kutoka kwenye video camera to Laptop .
Je naweza kufanyaje kwa sababu hakuna (nadhani) firewire zenye mfumo wa Usb zinazoweza kuingia kwenye laptop hapo hapo ikaingiza kunako laptop kama ipo nisaidie
asante