Umemjibu kwa jinsi anavyostahiliHuwa napenda sana kusoma post zako! Na huwa kuna vitu najifunza sana kupitia wewe gentamycine. Ila naomba nikuambie kwa post yako ya leo umeenda sana wrong na umeiyandika kiuchochezi. Kuwa makini sana kiongozi kwa post zako . Watu wataanza kukuzarau kwa post zako! Kama yule mwamba pascal ambaye alikuwa anaeshimika sana hapa Jamii forum! Lkn cku hizi anazaraulika. Hii ni kutokana na tabia kama hizi unazotaka kuzianzisha wewe. Achana na hizi tabia jombaa. Simamia maadili yako.
Mkuu nimewasilisha 'Mawaidha' ya Tajiri wa Sahara Media na Mwenyekiti wa CCM Mkoani Mwanza Antony Dialo aliyotoka Kuyasema muda si mrefu Star Tv katika Mahojiano yake je, tatizo la GENTAMYCINE lililokukwaza ni nini? Nasubiri mrejesho wako upesi.Umemjibu kwa jinsi anavyostahili
Soma kifungu chako cha pili kutoka kifungu cha mwisho ndo utajuwa ni wapi ulipoingiza ushabiki . Pia ilibidi utuambie antony dialo ni nani , na aliwahi kuwa nani ktkt nchi hii, utuambie ktk kazi zake ktkt nchi hii ni scandal gani mbaya au nzuri alizozifanya ktk nchi hii, utuambie ni heshima ipi ktk utendakazi wake ameiyacha ktk nchi hii, alafu ndo utuambie kinachoendelea ktk luninga kwa sasa. Tatizo uliwahi kupost ili uonekane kuwa wewe ndiye wa kwanza! kutupia huu uzi. Pamoja na kuzaraulika kwa pascal kwa sababu ya kutoka kwenye taaluma ya kiuwandishi na kuingia kwenye taaluma ya kiuwandishi maslahi! Lkn huwaga anaumiza kichwa chake sana kwenye kuandaa uzi wake. Hebu jombaa simamia misingi yako Ili uendelee kueshimika kwenye hili jukwaa huru. Ni hayo tu jombaa.Mkuu nimewasilisha 'Mawaidha' ya Tajiri wa Sahara Media na Mwenyekiti wa CCM Mkoani Mwanza Antony Dialo aliyotoka Kuyasema muda si mrefu Star Tv katika Mahojiano yake je, tatizo la GENTAMYCINE lililokukwaza ni nini? Nasubiri mrejesho wako upesi.
Cc: mwengeso
Huwa napenda sana kusoma post zako! Na huwa kuna vitu najifunza sana kupitia wewe gentamycine. Ila naomba nikuambie kwa post yako ya leo umeenda sana wrong na umeiyandika kiuchochezi. Kuwa makini sana kiongozi kwa post zako . Watu wataanza kukuzarau kwa post zako! Kama yule mwamba pascal ambaye alikuwa anaeshimika sana hapa Jamii forum! Lkn cku hizi anazaraulika. Hii ni kutokana na tabia kama hizi unazotaka kuzianzisha wewe. Achana na hizi tabia jombaa. Simamia maadili yako.
Kunifananisha Mimi GENTAMYCINE na Pascal Mayalla ni sawa na Kumfananisha Zinedine Zidane ( GENTAMYCINE ) na Sekilojo Chambua ( Pascal Mayalla ) Mkuu. Hebu nitake Radhi tafadhali....!!!Soma kifungu chako cha pili kutoka kifungu cha mwisho ndo utajuwa ni wapi ulipoingiza ushabiki . Pia ilibidi utuambie antony dialo ni nani , na aliwahi kuwa nani ktkt nchi hii, utuambie ktk kazi zake ktkt nchi hii ni scandal gani mbaya au nzuri alizozifanya ktk nchi hii, utuambie ni heshima ipi ktk utendakazi wake ameiyacha ktk nchi hii, alafu ndo utuambie kinachoendelea ktk luninga kwa sasa. Tatizo uliwahi kupost ili uonekane kuwa wewe ndiye wa kwanza! kutupia huu uzi. Pamoja na kuzaraulika kwa pascal kwa sababu ya kutoka kwenye taaluma ya kiuwandishi na kuingia kwenye taaluma ya kiuwandishi maslahi! Lkn huwaga anaumiza kichwa chake sana kwenye kuandaa uzi wake. Hebu jombaa simamia misingi yako Ili uendelee kueshimika kwenye hili jukwaa huru. Ni hayo tu jombaa.
Tafadhali akikujibu naomba Unitagi pia.Hiyo dharau sorry I mean "zarau" ulichukua takwimu lini kujua idadi na kiwango cha dharau jukwaani?
Acha akomeshwe mpuuzi huyoNi sawa tu alivyodhurumiwa, Sahara media waligoma kabisa kutoa '_airtime' kwa wapinzani kipindi kile cha kampeni 2015!
Sent using Jamii Forums mobile app
Antony Dialo ni kweli 2015 Start Tv ilitumika sana kuonesha kampeni za CCM lakini aliingianao mkataba na wakina JK ili kama kustahili malipo ndani ya chama? Au alikuwa anafanya tu kutegemea fadhila gapo baadae?Kama muda huu unatizama 'Mubashara' Star Tv Mahojiano ya Mmiliki wa Sahara Media na Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Mwanza Tajiri Antony Dialo huhitaji Elimu Kubwa kujua ya kwamba 'ameteseka' sana na 'kudharauliwa' mno na uliokuwa Utawala wa Hayati Rais Dkt. Magufuli na CCM yake.
Na 99% ya Mazungumzo yake Tajiri Antony Dialo wa Sahara Media ( Wamiliki wa Vyombo vya Habari vikubwa Kanda ya Ziwa na nchini ) vya Star Tv, Radio Free Afrika na Kiss FM anaelezea jinsi Hayati Rais Dkt. Magufuli alivyomtumia ipasavyo katika Kampeni zake za mwaka 2015 na alipoupata Urais akasahauliwa, hakulipwa Pesa zake hadi leo na kujikuta hata akidharaulika ndani ya CCM.
" Hakuna Vyombo vya Habari ambavyo vilifanya Kazi Kubwa ya Kumkapenia Hayati Rais Dkt. Magufuli kama vyangu na nakumbuka mara Mbili tena akiwa Jukwaani Hayati aliahidi Kukusaidia kwa Kutuinua zaidi Sahara Media ila nikashangaa amenisahau, amenitupa huku nikiwa nimeingia Hasara kubwa na Kushindwa kujiendesha mpaka Wafanyakazi wangu wakawa wananidai na wengine kunikimbia na mpaka hii leo nadai Pesa zangu nyingi tu za Malipo yangu kwa Kazi niliyomfanyia "
Hata hivyo pamoja na Tajiri Antony Dialo ( wa Sahara Media ) Kuonekana kuwa na Masikitiko mengi juu ya yote yaliyomtokea Jicho Kali la Kisaikolojia la GENTAMYCINE limenionyesha kuwa kwa 'body language' yake Runingani ni kama vile anaifurahia Kazi yake Israeli kwa Mdaiwa wake Sugu na kwamba hata kama asipolipwa Poa tu barida na haina noma.
Tafadhali CCM ya Rais Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan nawe ( nanyi ) msije kurudia hili Kosa ya Kuvitumia baadhi ya Vyombo vya Habari ipasavyo wakati wa Kampeni zenu kama Condoms na baada ya Shughuli yenu Muhimu na Tamu Kukamilika mnawasahau / mnawatupa.
Kwani kwa Kufanya hivi Kwao huenda mkawa mnajilimbikizia tu Dhambi na Laana ya Mwenyezi Mungu ambae nae pia bila ajizi anamuagiza Mtekelezaji wake wa Kutukuka Israeli afanye yake kama ya 17 Machi, 2021 Wodini Mzena Makumbusho Wilayani Kinondoni Mkoani Dar es Salaam nchini Tanzania.
Lakini haikuwa sawa kama akuingia mkataba na CCM akategemea afanye aje kulipwa fadhila ya uwazili yeye ndo mpumbavu! Mambo yakulipa fadhila alikuwanayo JK sio magufuliMagufuli kama akukugusa basi wewe ulikuwa ni labda kijakazi wake
Ila naamini hata vijakazi wake walitukanwa na kudhalilishwa kwa kula bure pale ikulu
Mama Janeth kanenepa kweli nimependa na tabasamu limerudi
Mungu amlaze panapostahili huyu dicteta alinipa machungu sana huyu jamaa!!
Mwendazake alikuwa dhulmat sanaKama muda huu unatizama 'Mubashara' Star Tv Mahojiano ya Mmiliki wa Sahara Media na Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Mwanza Tajiri Antony Dialo huhitaji Elimu Kubwa kujua ya kwamba 'ameteseka' sana na 'kudharauliwa' mno na uliokuwa Utawala wa Hayati Rais Dkt. Magufuli na CCM yake.
Na 99% ya Mazungumzo yake Tajiri Antony Dialo wa Sahara Media ( Wamiliki wa Vyombo vya Habari vikubwa Kanda ya Ziwa na nchini ) vya Star Tv, Radio Free Afrika na Kiss FM anaelezea jinsi Hayati Rais Dkt. Magufuli alivyomtumia ipasavyo katika Kampeni zake za mwaka 2015 na alipoupata Urais akasahauliwa, hakulipwa Pesa zake hadi leo na kujikuta hata akidharaulika ndani ya CCM.
" Hakuna Vyombo vya Habari ambavyo vilifanya Kazi Kubwa ya Kumkapenia Hayati Rais Dkt. Magufuli kama vyangu na nakumbuka mara Mbili tena akiwa Jukwaani Hayati aliahidi Kukusaidia kwa Kutuinua zaidi Sahara Media ila nikashangaa amenisahau, amenitupa huku nikiwa nimeingia Hasara kubwa na Kushindwa kujiendesha mpaka Wafanyakazi wangu wakawa wananidai na wengine kunikimbia na mpaka hii leo nadai Pesa zangu nyingi tu za Malipo yangu kwa Kazi niliyomfanyia "
Hata hivyo pamoja na Tajiri Antony Dialo ( wa Sahara Media ) Kuonekana kuwa na Masikitiko mengi juu ya yote yaliyomtokea Jicho Kali la Kisaikolojia la GENTAMYCINE limenionyesha kuwa kwa 'body language' yake Runingani ni kama vile anaifurahia Kazi yake Israeli kwa Mdaiwa wake Sugu na kwamba hata kama asipolipwa Poa tu barida na haina noma.
Tafadhali CCM ya Rais Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan nawe ( nanyi ) msije kurudia hili Kosa ya Kuvitumia baadhi ya Vyombo vya Habari ipasavyo wakati wa Kampeni zenu kama Condoms na baada ya Shughuli yenu Muhimu na Tamu Kukamilika mnawasahau / mnawatupa.
Kwani kwa Kufanya hivi Kwao huenda mkawa mnajilimbikizia tu Dhambi na Laana ya Mwenyezi Mungu ambae nae pia bila ajizi anamuagiza Mtekelezaji wake wa Kutukuka Israeli afanye yake kama ya 17 Machi, 2021 Wodini Mzena Makumbusho Wilayani Kinondoni Mkoani Dar es Salaam nchini Tanzania.
Hahaha mashetani kazini...wacha wararuane dadeeeeki" Hakuna Vyombo vya Habari ambavyo vilifanya Kazi Kubwa ya Kumkapenia Hayati Rais Dkt. Magufuli kama vyangu na nakumbuka mara Mbili tena akiwa Jukwaani Hayati aliahidi Kukusaidia kwa Kutuinua zaidi Sahara Media ila nikashangaa amenisahau, amenitupa huku nikiwa nimeingia Hasara kubwa na Kushindwa kujiendesha mpaka Wafanyakazi wangu wakawa wananidai na wengine kunikimbia na mpaka hii leo nadai Pesa zangu nyingi tu za Malipo yangu kwa Kazi niliyomfanyia "
Tatizo ni Nyanda na yule jamaa mwingine Mjaluo bado wanafanya vipindi kwa maelekezo toka Lumumba.Sasa hivi Sahara itakuwa kipenzi cha watanzania hasa baada ya star tv kuanza kuwaruhusu wenye akili kuanza kutema cheche zao kupitia kituo hicho.
"Za jpm" pathetic foolDiallo hana legacy yoyote kwenye utumishi wa uma Tanzania licha ya kuwa mbunge na waziri kwa muda mrefu sana, akae atulizane apande ndege ,barabara, reli na flyover za JPM