Kwa lawama anazopewa Hayati Magufuli na Antony Diallo wa Sahara Media ni wazi CCM ya 2015 - 2021 ina Dhambi za Dhuluma

we ni mnafiki tu. Si ukikuwa unamsifia huku akiteka na kuua watu?
Weka Ushahidi wa Mimi Kumsifia Akiua na pia utuambie Hayati amemuua nani na kama Taarifa hiyo Jeshi la Polisi inayo.
 
Diallo ni mjinga kama wajinga wengine, kama itampendeza Mh. Rais asimlipe ili liwe funzo zaidi kwa wanaotengemea rewards/returns kwa utesi wa wengine kama Diallo.
 
Kuna mambo mengine huwa anajibu Mungu kwa spidi ya 5G.
Ila jamaa alikuwa na roho mbaya sana,haki ya MTU unadhurumu,wangepata ajali je.
Ile kauli yake Bukoba kwenye tetemeko ndipo nilijua kichaa kabisa
Kweli jamaa alikuwa kichaa wa kulazwa wodini halafu eti wanataka kujenga sanamu la kichaa kwa 420m
 
Tundu Lissu aliwaonya hamtakuwa salama.
 
Aliwaonya / Alikuonya / Alituonya sote?
Alituonya sote. Sisi wa upande mwingine tulimwelewa nyie mkaziba masikio. Ona sasa kilio cha Antony anawakilisha wengi wasio na uthubutu wa kuweka mambo hadharani
 
Alituonya sote. Sisi wa upande mwingine tulimwelewa nyie mkaziba masikio. Ona sasa kilio cha Antony anawakilisha wengi wasio na uthubutu wa kuweka mambo hadharani
Kwanini hakusema Hayati akiwa bado Hai?
 
There is no honor among thieves!
Wacha wadhurumiane, ushirika wa wachawi haudumu, ccm Ni mashetani
 
Manji jk anaweza kumlioa nini?

Sent from my SM-N960F using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…