Kwa leo acheni tu niwape heshima zao wanawake wote:

mimi nawapa pole hasa mnapokua boss mkurugenzi kitambi manager (ujauzito). Mia
 
mpaka ifikie hapa nishachapa lapa zamani mnoooooo au naenda kumshitaki kwa mshenga kwann hataki kunipa haki yangu
si unajua tena uchovu mwingi na shughuli za kila siku
 
Aminata; Mimi nadhani umeelezea habari za wanawake wa zamani enzi hizo, siku hizi umfanyie nani mambo hayo?! sana sana wanaume ndio wamegeuziwa kibao na ukijaribu kulalamika unaambiwa mlitutesa sana miaka hiyo sasa tumeelimika. Haki sawa kwa wote!
 
Ndio huo usaidizi ambao Mungu aliwaumbia kwa ajili ya wanaume....!na bado,watatumika sana coz ndio wajibu wao kutumika katika mengi kama ulivyoainisha hapa!.....Poleeeeeeeee samaki pole,.........Offside trick waliimba
 
umenikumbusha uo wimbo poleeeeeeee samaki poleeeeeeeee loh!
 
kwan ujasoma maandiko? hapa wanatimiza tu na mengine hawafanyi wanakaidi kisa beijing sijui...
 
Mtawafanyia hvyo wasio na alternative ya maisha (magoli kipa) hakuna mwanamke mwenye maisha yake na pesa zake anayejiamin indepentend atavumilia huo upuziii wenu kwa ushauri wa bure wanaume wenye ujinga huo tafuten wajinga wenzenu.
 
acha kuwaza kama 2011.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…