Kwa leo chukua hii itakusaidia

Moja kati ya uzi bora kabisa kwangu kwa mwaka 2022. Nimechukua hii.. karibu sana CA.
 
5. Lazima ifike mahali utambue kwamba kila mtu anahitaji fedha za kutosha lakini hatuhitaji kiwango sawa cha fedha kwa sababu makusudi na malengo yetu hayafanani.
Ahsante kwa miongozo...
 
Asante sana mkuu umeeleweka
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…