Fununu ni phd ameshoot video ya milioni 15
Fununu ni phd ameshoot video ya milioni 15
Pale buguruni kwa Mkata kiuno
very true.....trust me hiko kichupa kitafanya baadhi ya waliofikiria kwenda kufanya kichupa south wafikirie mara mbili....official release ni tarehe 30 mwezi huu july!...chupa msafiri wa kwetu studio kalitendea haki sana na mkali mwenyewe Phd kakaza saanaaa.....kuna location flani amazing!
Yaani kwa leo video za ukweli hata audio anazoachia PHD kamwacha mbali,kuna watu walikuja kumfananisha humu mwaka uliopita,ila kwa sasa TID kafunikwa balaa.
sina upendeleo
phd baadhi ya audio katulia sana,hebu niambie nyimbo gani umezisikiliza