Kwa level gani ya Elimu ya Automobile Engineering naweza kufanya haya?

Kwa level gani ya Elimu ya Automobile Engineering naweza kufanya haya?

SankaraBoukaka

JF-Expert Member
Joined
Jul 2, 2019
Posts
1,213
Reaction score
1,918
Habari wandugu,

Je kwa level gani ya Elimu ya Automobile Engineering (namaanisha Certificate, Diploma au ni lazima iwe Bachelor Degree) mtu anaweza kufanya yafuatayo:-
  • Kufanya Diagnosis, Ku-interpret na ku-analyse data
  • Engine swapping
  • ECU Remapping
  • Electrical system maintainance
  • Mechanical maintenance
Ni hayo tu.
 
Ni VETA tu, ambapo utapewa Certificate yako safiii...

Sema ufundi unatakiwa uwe na juhudi binafsi, ukubali kujifunza kwa sababu technology inabadilika kila leo, la mwisho na la muhimu uupende ufundi ila kama umeingia kwa matarajio ya kupiga mpunga tu .....Hakuna rangi hutaacha ona.
 
Back
Top Bottom