Magufuli alimbana huyo lugumiBy then Lugumi alikuwa akipewa michongo na hayati maana ni jamaa yake wa karibu akiwa Nyanza Mwanza hayati nje ya gate la Nyanza Lugumi alikuwa shoe shiner so michongo mingi
Jamaa ni arms dealer aka merchant of death. Vita hazitaisha Africa. Ndiyo maana nikasema anauza silaha kwa majeshi rasmi na....??? Pigia mstariNi mzabuni wa majeshi huyo kama sijakosea.
Nakumbuka pia kipindi cha Rais Magufuli ilikaribia kidogo tu amfilisi baada ya kugundua amechukua tenda ya kusambaza vifaa vya ugunduzi wa alama kwa watuhumiwa kwenye jeshi la polisi, halafu huyo mhuni akaingia mitini huku akiwa amelipwa fedha zote (bilions of Tshs) za kufanya installations kwenye vituo vyote muhimu!!
Na ndiyo kipindi hicho jina la Dr. Shika lilikuwa maarafu baada ya kutaka kulinunua moja ya ghorofa la huyo Lugumi kwa shilingi 900, huku madali wakifiri ni milioni 900 za Kitanzania.
Hayati hajawahi kuwa na uhusiàno wa karibu na LUGUMI. Infact kipindi cha Dr JPM huyo dogo alikuwa ameshapotezwa na JPM alikuwa anakwenda kumfilisi.By then Lugumi alikuwa akipewa michongo na hayati maana ni jamaa yake wa karibu akiwa Nyanza Mwanza hayati nje ya gate la Nyanza Lugumi alikuwa shoe shiner so michongo mingi
Ndio ipo hivyo ; hata kwenye sheria ya Ununuzi wa Umma….. Jeshi linafanya direct procurement from manufacturer. Na Silaha nyingi zinatoka Soviet UnionKweli kabisa aisee.
Ni vyema ununuzi wa vifaa vya kijeshi haswa siraha na other protective gears vifanywe na jeshi lenyewe, kwa kuna hatari ya kufanyika bio engineering (wanajeshi wakapelekewa gears zenye virus n.k) pia aina ya silaha zinazonunuliwa na serikali na stock yake kwasababu huyu lugumi atakuwa anajua n.k
Kwenye hizo nchi intelligence ipo very independent na ni separate entityObama baba mkenya
Harris (mama muhindi, baba mjamaica).
Collin Power (wazazi wajamica)
Rishi Sunak (wazazi wahindi wa EA)
Kemi (Wazazi wote wa-Nigeria). etc the list goes on.
Sasa unadhani usalama wa hizo nchi wamelala.
FaizaFox amekuja kichwani wakati nasoma hapa 🤣Sio dada yangu wa kuzaliwa yeye muhangaza, mimi mnyalukolo (rafiki wa dada zangu)
Nimetoa mfano tu, na hawezi kuokota watu mitandaoni ni mtoto wa
mjini kweli kweli Dar-Er-Salaam mapedeshee yote hapo mjini ya rika lake unamjua.
Unadhani wanawake sampuli ya chit-chat, huyo hata JF sidhani kama anaijua.
Ukitaka update za kitaa yeye ndio anazo, nani kakamatwa kwa kosa makosa yepi; hakuna kinachompita U.K. na Dar-Es-Salaam.
I agreeKwenye hizo nchi intelligence ipo very independent na ni separate entity
Hao viongozi hawa impact yoyote kwenye mustakabal wa nchi hizo…. Mifumo ya nchi ilishakuwa imara na haiingililiwi
Sio tanzania ; viongozi wana power kuliko mifumo
Nime imagine hiyo sentensi imefuatana na kusonkwolwa kwenye komwe la jamaa! 🤣Muongo wewe!
Baridi la Canada, sasa hivi anatafuna mirungi tu huko na kunywa kahawa.FaizaFox amekuja kichwani wakati nasoma hapa 🤣
Ni ndugu yetu ktk Imani, mtu mpk alibadili dili unafikirini wa kawaida?Lugumi mshikaji wake ni mzee wa msoga na hayati alipoingia akafumua huo uchafu japo Kwa Sasa Tena karudi
Iman inatusaidiq nin kwenye masilahi ya nchi. Hivi bado kuna watu kama wewe hapa duniani ?Ni ndugu yetu ktk Imani, mtu mpk alibadili dili unafikirini wa kawaida?
Ni vifaa vya jeshi la polisi, dili alipewa na mkwe wake aliyekuwa IGP Said Mwema. JWTZ hawezi sogeza makalio yakeNchi ya kiwaki sana yaani mshona viatu bado anaendelea kuwa msambazaji mkuu wa vifaa vya kijeshi.
I think unapotosha historia mkuu; enzi za hayati ndio scandal zake ziliibuliwa na hasa kuhusu ufungaji wa vifaa vya kupimia finger print kwenye vituo vya police, deal/biashara ilifanyika enzi za JK na sio mwendazake. Rejea upya historia yako. Again, binafsi siamini kama Lugumi anaweza kuingia kwenye penzi lingine akiwa kajiachia hivo, mkewe mnajua ni mtoto wa nani?By then Lugumi alikuwa akipewa michongo na hayati maana ni jamaa yake wa karibu akiwa Nyanza Mwanza hayati nje ya gate la Nyanza Lugumi alikuwa shoe shiner so michongo mingi
Tuliza mzuka, we unafikiri amerudi vp kipindi Cha mama Ushungi wakati kipindi Cha Magu alikuwa ndani hiyo mwanaharamu?Iman inatusaidiq nin kwenye masilahi ya nchi. Hivi bado kuna watu kama wewe hapa duniani ?
Yuko Vancouver kuna unafuuBaridi la Canada, sasa hivi anatafuna mirungi tu huko na kunywa kahawa.
Hata nguvu ya kuchangia JF hana.
Haihusiani na IMANI. Acha ujingaTuliza mzuka, we unafikiri amerudi vp kipindi Cha mama Ushungi wakati kipindi Cha Magu alikuwa ndani hiyo mwanaharamu?
Huyo ni fisadi mwenzakoNi ndugu yetu ktk Imani, mtu mpk alibadili dili unafikirini wa kawaida?
Ujinga upi unauzidi huo wa kwako? We endelea na huo mzigo wako wa upumbavuHaihusiani na IMANI. Acha ujinga
Ndugu yenu katika imani my foot
Binadamu wote ni ndugu
Mi namsikia huyo mshamba wa kisukuma kwenye vyombo vya habariHuyo ni fisadi mwenzako