Private investigator
JF-Expert Member
- Dec 28, 2012
- 303
- 287
Viroute vifupi vya kms 300 - 400? Sina hakina kama unafahamu vipimo kwani ulicho andika ni routi ndefuNataka gari ya kwenda nayo ofisini, nikitoka nipige uber niingize fedha. Nataka private ya kukodiwa sometime viroute vifupi vya km 300 -400 na kurudi mjini.
.1. Wish
.2. IST
.3. Raum
.4. Passo
.5. GX 100
.6. Mark X
Ipi itafaa kwa Mwanza hii.??