Kwa maamuzi haya ya Bunge la Kenya ndio kuna udikteta halisi nchi zote Afrika Mashariki

Johnny Sack

JF-Expert Member
Joined
Jan 21, 2017
Posts
8,984
Reaction score
19,288
Bunge limepitisha kuwa Wabunge Wastaafu wawe wanalipwa Kshs 100k kila mwezi.

Kumbuka kuwa Kenya ndio Kati ya nchi zinaoongoza Duniani kwa Wabunge wake kulipwa mishahara mikubwa ukilinganisha na Uchumi wake

Pamoja na Wakenya kudai Wana Uhuru wa kuandamana Sana, ila wao ndio wanaokandamizwa zaidi na viongozi wao kuliko nchi yoyote E.

Africa
Screenshot_20200805-203007.jpg
 
Nchi hiyohiyo Jumatatu wauguzi wanatarajia kuanza mgomo nchi nzima kudai mishahara ya miezi mitatu!😁!

Corona naye ndo kachachamaa 600+ kwa siku halafu wenyewe wanajifaragua Akili kubwa!

Ex Africa semper aliquid novi!
 
Kupitisha tu mswada wa kujali tumbo zao kwasababu wengi wao wanajua kwamba hawatakuwa kwenye bunge lijalo sio mwisho wa mechi. Swali ni rais atastahimili makali ya hamaki za wakenya na akubali kutia saini mswada huo ili uwe sheria? Maanake wakenya wanauelewa sana huu mchezo na hata maamuzi ya rais sio ya mwisho. Hapa ndio mhimili wa mahakama huwa unatumiwa ipasavyo na wakenya. Don't touch that dial.
 
Niliwaambia huu mwaka wakenya watatii mkabisha cheki sasa vyenye jubilii inafanya maana wamejua magufuli atasababisha wasirudi bungeni hivyo wametunga sheria Mpya ya
K= Kula
E = Ela za
Nya = Nyani
 
kwamba mtakataaa[emoji2][emoji2]

wacha tuone, hapo mkijitahidi kuwakazia watashusha tu, ila si kuondoa kabisa.
 
Niliwaambia huu mwaka wakenya watatii mkabisha cheki sasa vyenye jubilii inafanya maana wamejua magufuli atasababisha wasirudi bungeni hivyo wametunga sheria Mpya ya
K= Kula
E = Ela za
Nya = Nyani
Da Imebidi Nicheke
 
Kupitisha tu mswada wa kujali tumbo zao kwasababu wengi wao wanajua kwamba hawatakuwa kwenye bunge lijalo sio mwisho wa mechi. Swali ni rais atastahimili makali ya hamaki za wakenya na akubali kutia saini mswada huo ili uwe sheria? Maanake wakenya wanauelewa sana huu mchezo na hata maamuzi ya rais sio ya mwisho. Hapa ndio mhimili wa mahakama huwa unatumiwa ipasavyo na wakenya. Don't touch that dial.
Mkuu, Hawa Wabunge si walijipandishia mshahara wakawa ndio Wabunge wanaolipwa zaidi Africa, kukawa na kelele Kama hizi Ila hakuna kilichobadilika
 
Kupitisha tu mswada wa kujali tumbo zao kwasababu wengi wao wanajua kwamba hawatakuwa kwenye bunge lijalo sio mwisho wa mechi. Swali ni rais atastahimili makali ya hamaki za wakenya na akubali kutia saini mswada huo ili uwe sheria? Maanake wakenya wanauelewa sana huu mchezo na hata maamuzi ya rais sio ya mwisho. Hapa ndio mhimili wa mahakama huwa unatumiwa ipasavyo na wakenya. Don't touch that dial.
Imeisha hiyo wewe
 
Back
Top Bottom