Johnny Sack
JF-Expert Member
- Jan 21, 2017
- 8,984
- 19,288
Watumishi wa afya wamegoma mishahara hakuna
Niliwaambia huu mwaka wakenya watatii mkabisha cheki sasa vyenye jubilii inafanya maana wamejua magufuli atasababisha wasirudi bungeni hivyo wametunga sheria Mpya yaKupitisha tu mswada wa kujali tumbo zao kwasababu wengi wao wanajua kwamba hawatakuwa kwenye bunge lijalo sio mwisho wa mechi. Swali ni rais atastahimili makali ya hamaki za wakenya na akubali kutia saini mswada huo ili uwe sheria? Maanake wakenya wanauelewa sana huu mchezo na hata maamuzi ya rais sio ya mwisho. Hapa ndio mhimili wa mahakama huwa unatumiwa ipasavyo na wakenya. Don't touch that dial.
kwamba mtakataaa[emoji2][emoji2]Kupitisha tu mswada wa kujali tumbo zao kwasababu wengi wao wanajua kwamba hawatakuwa kwenye bunge lijalo sio mwisho wa mechi. Swali ni rais atastahimili makali ya hamaki za wakenya na akubali kutia saini mswada huo ili uwe sheria? Maanake wakenya wanauelewa sana huu mchezo na hata maamuzi ya rais sio ya mwisho. Hapa ndio mhimili wa mahakama huwa unatumiwa ipasavyo na wakenya. Don't touch that dial.
Da Imebidi NichekeNiliwaambia huu mwaka wakenya watatii mkabisha cheki sasa vyenye jubilii inafanya maana wamejua magufuli atasababisha wasirudi bungeni hivyo wametunga sheria Mpya ya
K= Kula
E = Ela za
Nya = Nyani
Mkuu, Hawa Wabunge si walijipandishia mshahara wakawa ndio Wabunge wanaolipwa zaidi Africa, kukawa na kelele Kama hizi Ila hakuna kilichobadilikaKupitisha tu mswada wa kujali tumbo zao kwasababu wengi wao wanajua kwamba hawatakuwa kwenye bunge lijalo sio mwisho wa mechi. Swali ni rais atastahimili makali ya hamaki za wakenya na akubali kutia saini mswada huo ili uwe sheria? Maanake wakenya wanauelewa sana huu mchezo na hata maamuzi ya rais sio ya mwisho. Hapa ndio mhimili wa mahakama huwa unatumiwa ipasavyo na wakenya. Don't touch that dial.
Imeisha hiyo weweKupitisha tu mswada wa kujali tumbo zao kwasababu wengi wao wanajua kwamba hawatakuwa kwenye bunge lijalo sio mwisho wa mechi. Swali ni rais atastahimili makali ya hamaki za wakenya na akubali kutia saini mswada huo ili uwe sheria? Maanake wakenya wanauelewa sana huu mchezo na hata maamuzi ya rais sio ya mwisho. Hapa ndio mhimili wa mahakama huwa unatumiwa ipasavyo na wakenya. Don't touch that dial.