Kwa maamuzi haya ya refa Mwanza TFF mna kazi sana, aibu sana mnaua soka la Tanzania waamuzi

NA BADO SANA MANA SISI WENZENU TULIENDA MPK FIFA JIANDAENI NA NYNY MUENDE [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Hebu nkumbushe mwaka gan marefa wa bongo wameenda kchezesha afcon
Mbeleko fc, mbumbumbu fc, mikia fc, hamsa hamsa fc, underdog fc! Mmewasababishia hao marefa wakose hata nafasi za kuchezesha mechi za kimataifa kwa sababu ya kuwabeba huku wakiihujumu timu ya wananchi.
 
Yaani unamuonea huruma tajiri, unaacha kumuonea huruma Zahera, anachangisha hela lakini wachezaji wanagomea mazoezi!?
 
mi nafikiri badala ya kumwonea huruma mwekezaji wa simba waonee huruma wachezaji wako wa yanga wanaogoma hawajalipwa mishahara miezi mitatu na familia zao zinateseka
mi nafikiri badala ya kumwonea huruma mwekezaji wa simba waonee huruma wachezaji wako wa yanga wanaogoma hawajalipwa mishahara miezi mitatu na familia zao zinateseka
Mnyama Simba season yake ya klabu bingwa Africa ilipoishia msimu uliopita tunataka tuendeleze msimu ujao kwaio kuweni wapole tuu
Mnyama Simba season yake ya klabu bingwa Africa ilipoishia msimu uliopita tunataka tuendeleze msimu ujao kwaio kuweni wapole tuu
Hakuna sasa ambaye anaweza kwenda kwenye mashindano ya CAF akafanya vizuri kama mnyama huna namna wewe TASAF FC
 
Sasa wewe ulidhani Tanzania inaenda kubeba Afcon kule Misri? Au unadhani ligi za senegal,Nigeria na Ghana ni bora sana kwakuwa nchi zao zinafanya vizuri kimataifa?
Angalau waamuzi wao tunawaona kimataifa. Hawa wa kwetu uvundo mtupu. Asante Azam tv,hata kama ya kulipia
 
Natamani nikupe bonge LA Tutsi,
wacha mfurahie upuuzi unaoendelea kama mnavyodai ni zamu yenu
. Ila IPO siku tutafika tu tunapopataka, Mungu atusaidie kujitafakari na kujisahihisha.
 
Yani wewe na Zahera ni ndugu
 
Wewe na huyo meneja leteni hizo video tuone ka hawakunawa ule mpira.
Au kwenu simba ikipata penalty tyr kanunua waamuzi
 
Ahsante sana msemaji wa familia ya MO
 
Kaangalie clips za replay utaona dhahiri shahiri jamaa walivyoshika ndani ya box na kutoa penati.kama Simba wanabebwa basi wanabebwa na mbeleko ya Gazeti
 
Na majamaa wala hayaoni aibu kubebwa namna ile! Leo sijui marefa wamevuta ngapi mana si kwa mbeleko ile! Ligi kama hii haiwezi kutoa timu bora ya Taifa! Tunaenda kutalii tu kule Misri
Robo fainali Afrika ni timu mbovu?
Timu inayoshika nafasi ya ishirini Afrika ni timu dhaifu ?
Labda ni timu ya Yanga.

Kwa utafiti wa kitaalamu timu inayobebwa ni timu ya Yanga,
Timu inayoongoza ligi huku haipo 50 bora Afrika na imeingia hatua ya makundi ya ligi ya FA Azamu.
 
Paka mkubwa kabebwa. Mara ya kwanza ligi kuu 2018/2019 penalties 2 kwenye mechi moja. Wakienda nje wanakula mkono tu.

Serengeti Boys walipata penalty 2 vs Nigeria! Nao walibebwa? Nimeshaona mechi kubwa za Ulaya timu inapata penalty tatu!!! Nakushauri uangalie chanzo cha penalty na sio idadi.
 
najaribu kukuelewa lakini sipati wazo lako halisi, unataka kuniambia haikuwa penalt au? nimerudia kuangalia clip u tube na inaonyesha kabisa ni penalt, sasa ulitaka mwamuzi aamue nini? Kama ni haki mtu apewe. ila cha msingi asionewe mtu
 
Tifu tifu ndio wana-engineer huu upuuzi.
 
najaribu kukuelewa lakini sipati wazo lako halisi, unataka kuniambia haikuwa penalt au? nimerudia kuangalia clip u tube na inaonyesha kabisa ni penalt, sasa ulitaka mwamuzi aamue nini? Kama ni haki mtu apewe. ila cha msingi asionewe mtu
Usiishie tu kusema kwamba ni penati bali tuambie penati kivipi? Tutafsirie sheria iliyotumika kuamua iwe penati
 
Hebu nkumbushe mwaka gan marefa wa bongo wameenda kchezesha afcon

Hapo nimeelezea mechi za kimataifa kwa ujumla wake na siyo afcon tu! Kwenye afcon ni mwanadada Jonsia Rukya tu ambaye ameshachezesha afcon ya wanawake na pia hii ya vijana U-17 inayoendelea.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…