Kwa mabehewa haya ya SGR Dar mpaka Mwanza ni masaa mangapi?

Kwa mabehewa haya ya SGR Dar mpaka Mwanza ni masaa mangapi?

Joined
Nov 18, 2022
Posts
41
Reaction score
115
Nimeyaona leo hapo town, mzigo umeanza majaribio. Kwa makadirio yako unahisi Dar mpaka Mwanza itakuwa siku ngapi?

C723FEBA-144C-41D6-A715-9DA2F0BECEEA.jpeg
65322D11-7B7A-4336-8B1E-52B556274B22.jpeg
 
Hayo ni mabehewa mapya?

Mapya kwa Tanzania? Au mapya kwamba ndio design ya mabehewa ya kisasa?
 
Nijuavyo mimi mabehewa ya treni huvutwa na injini. Hivyo suala la kasi ya treni litategemea uwezo wa injini...........
 
Back
Top Bottom