Four-Star General Member Joined Nov 18, 2022 Posts 41 Reaction score 115 Dec 1, 2022 #1 Nimeyaona leo hapo town, mzigo umeanza majaribio. Kwa makadirio yako unahisi Dar mpaka Mwanza itakuwa siku ngapi?
Nimeyaona leo hapo town, mzigo umeanza majaribio. Kwa makadirio yako unahisi Dar mpaka Mwanza itakuwa siku ngapi?
jerrytz JF-Expert Member Joined Oct 10, 2012 Posts 5,975 Reaction score 4,266 Dec 1, 2022 #2 Hayo ni mabehewa mapya? Mapya kwa Tanzania? Au mapya kwamba ndio design ya mabehewa ya kisasa?
chizcom JF-Expert Member Joined Jul 31, 2016 Posts 8,680 Reaction score 18,035 Dec 1, 2022 #3 ukisafiri weka na miogo maana wenye mabasi wataenda na kurudi wewe bado unazunguka milima ya morogoro
ukisafiri weka na miogo maana wenye mabasi wataenda na kurudi wewe bado unazunguka milima ya morogoro
Ulimakafu JF-Expert Member Joined Mar 18, 2011 Posts 31,248 Reaction score 13,244 Dec 1, 2022 #4 Tumepigwa.....
T Tony Laurent JF-Expert Member Joined Jan 5, 2011 Posts 5,606 Reaction score 7,032 Dec 1, 2022 #5 Nijuavyo mimi mabehewa ya treni huvutwa na injini. Hivyo suala la kasi ya treni litategemea uwezo wa injini...........
Nijuavyo mimi mabehewa ya treni huvutwa na injini. Hivyo suala la kasi ya treni litategemea uwezo wa injini...........