Mbona hawajakuoa ss???[emoji23] [emoji23] [emoji23]Hiyo gap kubwa Huwa mnaitoa wapi? Maana mm kwangu haijawahi kunikuta na ninatangaziwa ndoa na watu kibao tu.
Nichacho cha upungufu waakiliKwani kuolewa ni lazima?,,,,, wanawake wajifunze kuishi bila ndoa,,,maisha bila ndoa inawezekana,,,,
Sio lazima wengine wanajifunza kwa kuuza papuchi night kaliiKwani kuolewa ni lazima?,,,,, wanawake wajifunze kuishi bila ndoa,,,maisha bila ndoa inawezekana,,,,
wenye bikira wapo nasariKwa mujibu wa takwimu zako,,, hata wanaojitunza hawataolewa,,,,, watakuwa vizee wakiwa bikra,,,,
Kumbe idadi ya wanaume kua ndogo ni azalilishajiUtafiti duni wenye lengo la kudhalilisha wanawake huu. Kwa hiyo hakuna wanawake watoto, wazee, walioko jela, wenye matatizo ya akili, kwenye hitimisho umemaliza kwa kurudia namba ile ile ya wanawake 5.6B wakati kwa wanaume umeichanganua kadri ya makundi tofautitofauti.
Nani kakwambia hao 5.6B wote wanataka kuolewa? Kwa mtizamo huu inamaana kuoa ni ksaidia mwanamke? Acheni kufanya masihara kwenye mambo ya msingi.
Kumbe idadi ya wanaume kua ndogo ni azalilishaji
.....
Sijataka tu ,usidhani kila mtu kuolewa ni kipaumbele chake.Mbona hawajakuoa ss???[emoji23] [emoji23] [emoji23]