Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mbona video inagoma kuplay mkuu
Reshuffle tena? Kwan hakunaga watu wapya?Bila reshuffle ya hao maafande njombe bado wapo wapo sana.
Nimeona mkuu,. Nimefanikiwa kufunguaTatizo binafsi mleta mada kukutolea ufumbuzi itakuwa shughuli pevu
Reshuffle tena? Kwan hakunaga watu wapya?
Nimeona mkuu,. Nimefanikiwa kufungua
Duh ila Njombe, hii ni sample Tu ya kituo kimoja cha Polisi, huo uozo uko kila kituo, Mimi Hadi Kesho nasumbuana na Askari wa pale Buguruni. Na issue yangu imefika hadi kwa ZCO ila hakuna kitu
Waziri mwenye dhamana angefungua ukurasa wa kero ili wananchi waseme waziwaziDuh ila Njombe, hii ni sample Tu ya kituo kimoja cha Polisi, huo uozo uko kila kituo, Mimi Hadi Kesho nasumbuana na Askari wa pale Buguruni. Na issue yangu imefika hadi kwa ZCO ila hakuna kitu
Nchi ni salama sana hiiiiiiii acheni kuchafua Serikali kisiasa ...alisikika Waziri bwege masauni....Bila reshuffle ya hao maafande njombe bado wapo wapo sana.
Unaota si Masauni amesema nchi iko salama mnazusha tu mambo!?Clip imo humu..Waziri mwenye dhamana angefungua ukurasa wa kero ili wananchi waseme waziwazi
Waziri wa Nchi Gani? Waziri ambaye ni mnufaika wa hayo yote KAMWE hawezi kukubali Ushauri mzuri kama huuWaziri mwenye dhamana angefungua ukurasa wa kero ili wananchi waseme waziwazi
Mzanzibari mdebwedoUnaota si Masauni amesema nchi iko salama mnazusha tu mambo!?Clip imo humu..