Kwa maelezo haya RPC angeachia ngazi kulinda heshima yake

Mjimwema ya Kigamboni?! Polisi ni wezi na wanawajua hqo vibaka na wanapewa ganji kulindwa...
 
Duh ila Njombe, hii ni sample Tu ya kituo kimoja cha Polisi, huo uozo uko kila kituo, Mimi Hadi Kesho nasumbuana na Askari wa pale Buguruni. Na issue yangu imefika hadi kwa ZCO ila hakuna kitu
Waziri mwenye dhamana angefungua ukurasa wa kero ili wananchi waseme waziwazi
 
Waziri mwenye dhamana angefungua ukurasa wa kero ili wananchi waseme waziwazi
Waziri wa Nchi Gani? Waziri ambaye ni mnufaika wa hayo yote KAMWE hawezi kukubali Ushauri mzuri kama huu
 
Unaota si Masauni amesema nchi iko salama mnazusha tu mambo!?Clip imo humu..
Mzanzibari mdebwedo

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…