Kwa mafundi ujenzi wa nyumba

Kwa mafundi ujenzi wa nyumba

Suip

JF-Expert Member
Joined
Sep 21, 2010
Posts
1,353
Reaction score
815
Wa JF kwa muda mrefu nilikuwa nafikiria kuwa nitakadriaje matofali na cement pamoja na kiasi cha mchanga wa kujenga nyumba. Najua kuwa nyumba inaweza kuwa ya vyumba kadhaa na bafu na choo ndani,

hayo yote hutegemea upana, urefu na kina(height)vya vyumba vyako.Hivyo kuna hii LINK Je mahesabu yake ni sahihi kwa wenye ujuzi wa ujenzi?
 
Wa JF kwa muda mrefu nilikuwa nafikiria kuwa nitakadriaje matofali na cement pamoja na kiasi cha mchanga kujenga nyumba. Najua kuwa nyumba inaweza kuwa ya vyumba kadhaa na bafu na choo ndani,

hayo yote hutegemea upana,urefu na kina(height)vya vyumba vyako.Hivyo kuna hii LINK Je mahesabu yake ni sahihi kwa wenye ujuzi wa ujenzi?

Tafuta QS mlipe akufanyie makadirio achana na hiyo miteremko isiyokuwa na kichwa wala miguu! Hebu weka height ya 3m na length 4.5m kwenye hiyo so called calculator utuletee majibu hapa! Then utajua kama ni kweli au lah!
 
135 blocks 275.4kg sand 3.13 bags of cement if ujenzi wa UK ni sawa na wa tz
 
Back
Top Bottom