Kwa mahitaji kutengenezewa matangazo ya aina mbalimbali

Kwa mahitaji kutengenezewa matangazo ya aina mbalimbali

Chance Media

New Member
Joined
Jun 19, 2019
Posts
2
Reaction score
3
Habari ndugu zangu,

Mimi ni msanifu kwa lugha ya kiswahili lakini lugha ya mzungu ni Graphics Designer na kwakuwa nafanya aina zote za usanifu wa digital multimedia includes interactive, computer-based applications that allow people to communicate ideas and information with digital and print elements.

Professionals in the field use computer software to develop and manage online graphics and content. Nipo hapa kuwaomba ndugu zangu mniunge mkono kwenye shughuli yangu kwasababu ndiyo nimeanza kujiajiri baada ya kuacha kazi kwenye kampuni niliyofanyia kazi kwa miaka minne ili kupata uzoefu, kwahiyo kama unahitaji kutengenezewa tangazo la aina yoyote, au kupata mafunzo ya Disegn unaweza kuwasiliana nami.

Nakumbusha ni program zote natumia kama Lightwave, Zbrush, Adobe zote, lumion hii lumion inawafaa hata watu wa Civil engineering kama ulisoma 3d autocad drawing sasa hii ni nyepesi zaidi.

Asanteni.
 
Kujifunza itanichukua mda gani na ninatakiwa kuwa na vigezo gani ili niweze kumanage mafunzo?
 
Back
Top Bottom