Car4Sale Kwa mahitaji ya Containers (20ft&40ft) pitia hapa

Car4Sale Kwa mahitaji ya Containers (20ft&40ft) pitia hapa

kwadilo

JF-Expert Member
Joined
Aug 3, 2018
Posts
756
Reaction score
898
Habari wa jukwaa (jamii)
Napenda kuwakaribisha kwa wale wenye uhitaji wa containers kwa ajili matumizi mbalimbali.
Containers zipo za 20feet na 40feet

Kuna used from Japan zilizotumika hapa Tanzania
(Used from japan ni zile zinazoleta mizigo na kisha kuuzwa baada ya kutoa mzigo.
Used from Japan
1. 20ft bei ni 6.5m
2. 40ft ni 9.5m
Used in Tanzania
1. 20ft 4.5m
2. 40ft 7.5m
Zote zinakua na documents halali za umiliki (uhalali)
KARIBUNI

Mawasiliano; 0785 857564

IMG-20220222-WA0031.jpg
IMG-20220222-WA0018.jpg
IMG-20220222-WA0031.jpg
IMG-20220222-WA0033.jpg
 
Kontena ni kama gari kwamba kuwa nalo lazima uwe na vielelezo? Na vipi kama huna hizo Documents unashitakiwa kwa kosa lipi?
Nani mwenye mamlaka ya kushtaki?
Ndio, madalali Huwa wanatumia gap la Watu kutojua Kuna documents za container. Kuna Kontena zinakuwa ni Mali ya shipping line Baada ya mzigo kushuka inatakiwa lirudishwe kama ni Shipping Line mfano MSC,Maersk,PIL. Wakiona mteja wa kuja unauziwa Mali ya shipping line siku wakilitaka wanalifata na huwezi kusema lako maana hauna documents.

Kontena nyingine ni za mashirika ya misaada ya wakimbizi unaweza Kuta ipo mtaani hata miezi kibao, wakija misheni town wanakuuzia Kisha baadae wenyewe wakilitaka unakuwa umeliwa.
 
Kontena ni kama gari kwamba kuwa nalo lazima uwe na vielelezo? Na vipi kama huna hizo Documents unashitakiwa kwa kosa lipi?
Nani mwenye mamlaka ya kushtaki?
Ukinunua kontena bakikisha umepewa document halali mkuu.
 
Habari wa jukwaa (jamii)
Napenda kuwakaribisha kwa wale wenye uhitaji wa containers kwa ajili matumizi mbalimbali.
Containers zipo za 20feet na 40feet

Kuna used from Japan zilizotumika hapa Tanzania
(Used from japan ni zile zinazoleta mizigo na kisha kuuzwa baada ya kutoa mzigo.
Used from Japan
1. 20ft bei ni 5.5
2. 40ft ni 8m
Used in Tanzania
1. 20ft 3.5m
2. 40ft 5m
Zote zinakua na documents halali za umiliki (uhalali)
KARIBUNI

Mawasiliano; 0785 857564

View attachment 2127588View attachment 2127592View attachment 2127595View attachment 2127596

Are they registered? Au for storage and other use than fright?
 
Makontena? Yana usajili kwamb naweza kuyatumia kusafirisha mizigo? Au yameshaondolewa kwenye mfumo wa usajili hivyo ni kwa matumizi binafsi tu?
Na kwa kuongezea hayo makontena mengine huwekwa vile vifaa ya kufuatilia vyaitwa "gps tracker".

Sifahamu kama muuzaji anafahamu hilo.
 
GPS hufungwa kufanya monitoring ya Contena linapokua na mzigo.
Ufunge GPS Contena lipo yard linauzwa how comes mkuu.
Nimeongelea kwa ref ya jamaa aliesema wenye makontena huyafuatilia wakiyataka.
 
Sawa mkuu, tupo pamoja
Fanya biashara ndugu sina nia ya kukuharibia piga kazi.

🙂

Hata hivyo jitahidi baadae (biashara ikikua) uwe una-import makontena ambayo tayari yametengenezwa kwa ajili ya matumizi mbalimbali.
 
Nafikiria kununua moja na kulitumia kwa kazi ya maabara huku niliko, ili nikihamishwa kikazi nahamanalo
 
Back
Top Bottom