Ndio, madalali Huwa wanatumia gap la Watu kutojua Kuna documents za container. Kuna Kontena zinakuwa ni Mali ya shipping line Baada ya mzigo kushuka inatakiwa lirudishwe kama ni Shipping Line mfano MSC,Maersk,PIL. Wakiona mteja wa kuja unauziwa Mali ya shipping line siku wakilitaka wanalifata na huwezi kusema lako maana hauna documents.Kontena ni kama gari kwamba kuwa nalo lazima uwe na vielelezo? Na vipi kama huna hizo Documents unashitakiwa kwa kosa lipi?
Nani mwenye mamlaka ya kushtaki?
Ukinunua kontena bakikisha umepewa document halali mkuu.Kontena ni kama gari kwamba kuwa nalo lazima uwe na vielelezo? Na vipi kama huna hizo Documents unashitakiwa kwa kosa lipi?
Nani mwenye mamlaka ya kushtaki?
Habari wa jukwaa (jamii)
Napenda kuwakaribisha kwa wale wenye uhitaji wa containers kwa ajili matumizi mbalimbali.
Containers zipo za 20feet na 40feet
Kuna used from Japan zilizotumika hapa Tanzania
(Used from japan ni zile zinazoleta mizigo na kisha kuuzwa baada ya kutoa mzigo.
Used from Japan
1. 20ft bei ni 5.5
2. 40ft ni 8m
Used in Tanzania
1. 20ft 3.5m
2. 40ft 5m
Zote zinakua na documents halali za umiliki (uhalali)
KARIBUNI
Mawasiliano; 0785 857564
View attachment 2127588View attachment 2127592View attachment 2127595View attachment 2127596
Registered company or what did you mean? But I'm Agent just selling only.
Na kwa kuongezea hayo makontena mengine huwekwa vile vifaa ya kufuatilia vyaitwa "gps tracker".Makontena? Yana usajili kwamb naweza kuyatumia kusafirisha mizigo? Au yameshaondolewa kwenye mfumo wa usajili hivyo ni kwa matumizi binafsi tu?
Nimeongelea kwa ref ya jamaa aliesema wenye makontena huyafuatilia wakiyataka.GPS hufungwa kufanya monitoring ya Contena linapokua na mzigo.
Ufunge GPS Contena lipo yard linauzwa how comes mkuu.
Fanya biashara ndugu sina nia ya kukuharibia piga kazi.Sawa mkuu, tupo pamoja
kufka mwanza lina mil 10 sasa kwahyo bei.Gharama inategemea, mfano kwa hapa dar kutoka bandarini hadi Bunju inarange kwenye 200k to 250k
Zinasafiri kwa kupakiwa kwenye tella kwa kutumia winchi.
Yana full documents maana kuna mdau aliniambia yanakuwa nazo. Kama ndio ni docs gani?Sawa mkuu!
Karibu sana next time
Ft 20 bei ganiAvailable
sawa.Contena zipo karibuni