Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kivipi mkuu?? Taja tu bei elekezi ya kawaida au ambayo haiwezi kuzidi icho kiwangoInategemeana na Power yako mkuu
Unapatikana wapi?!Hellow...Kwa mahitaji ya frame za Miwani za macho,,lense zake pamoja na matengenezo ya aina zote za miwani za macho kama vile
Kunyoosha
Kureplace lense ilovunjika
Lense za plastiki (Transition)
Lense special kwa ajili wale wanaotumia computer kwa mda mrefu (Blue Block)
Miwani za kusomea(Readers)
Biafocal Glass
Progressive
Pamoja aina zote za lense....Karibu tukuhudumie
Pia tunapima macho kwa vifaa vya kisasa kabisa
0746 673 654, 0653 306 778
Karibuni sana