Kwa mahitaji ya furnitures za ndani basi hapa ndo mahala pake

Eliamini

JF-Expert Member
Joined
Feb 4, 2012
Posts
618
Reaction score
744
Jipatie furnitures za ndani kama makabati ya kisasa ya vyombo, makabati ya kisasa ya nguo, vitanda vya kisasa , tv showcase nk nichek kwa namba 0672727316, tunapatikana kigamboni jijini Dar es salaam picha pamoja na bei nimeambatanisha hapo chini
 
Hilo kabati lenye logo ya Audi lina uhusiano wowote na hiyo kampuni ya magari?
 
Furniture ni nzuri ila Bei hujaweka
Na vipi Ni mchina au mnatengeneza wenyewe?
 
Bei zinatifautiana kutokana na furniture
Weka kutegemeana na furniture husika! Nyie watu wa mafenicha nawajua vizuri sana! Huwa hamuweki bei na matokeo yake kila mtu mnamtajia bei yake kwa kitu kile kile kile!!
 
Kabati kama hili ni milioni 1 na laki tano
 
Kitanda ni laki 5 pamoja na draw zake mbili
 
Kabati ya milango 4 shilingi 900,000
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…