shehani dege
New Member
- May 15, 2018
- 3
- 0
Kwahiyo hujanielewa kaka? Wewe lete kazi alafu uone vile nitafanyakwa uandishi huo m'bovu pia nina wasiwasi na workmanship kwenye ufundi wako ,kwa hiyo hapo ndio umemaliza au ulikua unafukuzwa wakati unaandika
kwahiyo nilitafute hilo jengo hapo juu sehemu lilipo,nikilipata niwaulize hao jamaa wawili ndio nitakupata si ndioKwahiyo hujanielewa kaka? Wewe lete kazi alafu uone vile nitafanya
kwa uandishi huo m'bovu pia nina wasiwasi na workmanship kwenye ufundi wako ,kwa hiyo hapo ndio umemaliza au ulikua unafukuzwa wakati unaandika
Kweli mafahari wawili hawakai zizi moja, avatar zenu zinaonesha nyote mna profession zinazofananaKwahiyo hujanielewa kaka? Wewe lete kazi alafu uone vile nitafanya