larrymeela
Member
- Aug 13, 2012
- 69
- 32
Business without business plan.
Ongeza nyamanyama kwenye taarifa yako.
Ongeza ubunifu.
Wanapatikana wapi!! Ukihitaji Akiwa amesha andaliwa wanapatikana!! Ukiletewa bei ni tofauti!! Akishachijwa anakuwa kilo!! Kwa wa kilo!! Ndio Mambo anayotaka uyaweke ili abari ikamilike!Shukrani mkuu kwa maoni yako
Nitaongezea taarifa zaidi pia kama unaweza saidia pia details gani niongezee itakua vema zaidi
Unapatikana wapiShukrani mkuu kwa maoni yako
Nitaongezea taarifa zaidi pia kama unaweza saidia pia details gani niongezee itakua vema zaidi
Unapatikana wapi
Hawa chotara mkuu
hao kuku wako ni wakienyeji pure?
Wanapatikana wapi!! Ukihitaji Akiwa amesha andaliwa wanapatikana!! Ukiletewa bei ni tofauti!! Akishachijwa anakuwa kilo!! Kwa wa kilo!! Ndio Mambo anayotaka uyaweke ili abari ikamilike!
Umewafuga miezi mingapi?
Kweli umekaa nao muda mrefu ndo maana wana kilo nyingiHao unaowaona hapo wana miezi 7
Kweli umekaa nao muda mrefu ndo maana wana kilo nyingi