zakaria kimosa
Member
- Jan 23, 2018
- 13
- 3
Ungetoa pia jinsi gani huyu mfanya biashara atapata faidaHabar,
Naomba nkusadie namna ya kujiunga na huduma zetu bora kabisa za maxmalipo. Ni rahisi sana.
Andaa document Copy ya vifuatavyo kwa ajili ya mkataba:
1. Leseni ya biashara
2. TIN no.
3. Kitambulisho chako
4.Barua ya serikal ya mtaa
5. Picha zako za passport size 2
Grarama ya mashine ni shilingi sh:674,000/=
nipe taarifa ukisha lipia mashine kupitia taarifa zet za bank
Accounts Numbers:
NMB: 20110013836
Acc name:MAXCOM AFRICA LTD au ofisi ya maxmalipo makumbusho Millenium Tower
Asante kwa ushirikiano wako,
0675688791
Zakaria kimosa
Mkuu huduma zenu kama vile ni dhaifu sana, karatasi tu za kuprint hadi ufate sayansi, network kusumbua kila mara. Pesa ukiweka kwenye mashine ukapata dharula basi huwezi kuitoa maana mpesa iliwashinda n.kHabar,
Naomba nkusadie namna ya kujiunga na huduma zetu bora kabisa za maxmalipo. Ni rahisi sana.
Andaa document Copy ya vifuatavyo kwa ajili ya mkataba:
1. Leseni ya biashara
2. TIN no.
3. Kitambulisho chako
4.Barua ya serikal ya mtaa
5. Picha zako za passport size 2
Grarama ya mashine ni shilingi sh:674,000/=
nipe taarifa ukisha lipia mashine kupitia taarifa zet za bank
Accounts Numbers:
NMB: 20110013836
Acc name:MAXCOM AFRICA LTD au ofisi ya maxmalipo makumbusho Millenium Tower
Asante kwa ushirikiano wako,
0675688791
Zakaria kimosa
Mie niko mwanza nitapataje hii mashineHabar,

Habari,
Naomba nikusadie namna ya kujiunga na huduma zetu bora kabisa za maxmalipo. Ni rahisi sana.
Andaa document copy ya vifuatavyo kwa ajili ya mkataba:
1. Leseni ya biashara
2. TIN no.
3. Kitambulisho chako
4.Barua ya serikal ya mtaa
5. Picha zako za passport size 2
Grarama ya mashine ni shilingi sh:674,000/=
Nipe taarifa ukisha lipia mashine kupitia taarifa zet za bank
Accounts Numbers:
NMB: 20110013836
Acc name:MAXCOM AFRICA LTD au ofisi ya MaxMalipo Makumbusho Millenium Tower
Asante kwa ushirikiano wako,
0675688791
Zakaria Kimosa
sasa hivi huduma zao mbaya sana, ukiweka hela bank utapiga cm mpaka ukome ndo uwekewe, commision wanakukadilia wao siyo ile ulofanya kazi, ikitokea umepata tatizo utahangaika mwenyewe, sasa hivi machine za luku zipo nyingi sana tu mpaka bank wana machineMkuu huduma zenu kama vile ni dhaifu sana, karatasi tu za kuprint hadi ufate sayansi, network kusumbua kila mara. Pesa ukiweka kwenye mashine ukapata dharula basi huwezi kuitoa maana mpesa iliwashinda n.k
Jamaa ovyo sana. Zamani walikuwa wakituma msg ya kukujulisha kamisheni yako wanaweka na kiwango, siku hizi kiwango hawaweki sijui hadi uulizie, yaani ni usanii mtupu. Ila kuongeza pesa uwe unatumia mpesa ndo rahisi na haina gharama na unaweka na inaingia hapo hapo.sasa hivi huduma zao mbaya sana, ukiweka hela bank utapiga cm mpaka ukome ndo uwekewe, commision wanakukadilia wao siyo ile ulofanya kazi, ikitokea umepata tatizo utahangaika mwenyewe, sasa hivi machine za luku zipo nyingi sana tu mpaka bank wana machine