Kwa mahitaji ya mashine za kuuzia luku

hawaruh
hawarusu uingize laki tano kwa mara moja, na unakatwa sh. mia saba kila unapoingiza hela kwa mpesa, nenda uweke bank napo ukipiga cm wakuwekee wanaweza kukuwekea kesho yake kwa ujumla max anakufa taratibu anaondoka sokoni kama nokia.
 
Boc by now naomba ukiweka bank nitumie receits ya bank kwenye whatsupp no.0672939086 au nipigie mm 0675688791 fasta inawekwa plz
 
Pole inagharama labda wawe wameitoa, mi yangu siku hizi siitumii nikuuzie?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…