INAUZWA Kwa mahitaji ya miche ya matunda, miti, maua mbalimbali na majani ya kupanda tuone Dani Garden

Elon J

JF-Expert Member
Joined
Sep 30, 2022
Posts
635
Reaction score
1,907
Mvua ndio hizo wadau, usiache shamba lako au nyumba yako ikae kinyonge tuone ''DANI GARDEN"

Tunauza Miche mbalimbali ya matunda kama miembe, mipera, michungwa, milimao, ndimu n.k yote imefanyiwa budding( ya muda mfupi).

Pia tunauza MAUA mbalimbali yakupendezesha nyumba yko bila kisahau miti na majani ya kupanda na vyungu vya urembo na kupandia maua.

Pia tunadesign garden ktk nyumba,

Tunapatikana, MIKOCHENI KWA WARIOBA, MBEZI LUIS, NA KINYEREZI. Pia tunafanya delivery popote.
No.0677769243

Karbuni sana.

 
kwa kila mti ulionao nadhan ni vizuri ungesema muda wa kuanza kutoa matunda.
 
Nataka Mbegu ya hayo manyasi(ukoka) bei gan?
 
Mbezi Luis specific mitaa ipi mkuu?
Kwa mbezi Luis tupo hapa karbu na stend ya magufuli means ukiwa stend unatembea Kwa miguu ndan ya dkk kadhaa umefika. Kwa maelezo zaid 0677769243
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…